Katibu mkuu Utumishi wa Umma acha roho mbaya, wewe ni kiongozi wa wanyonge

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Katibu mkuu utumishi wa umma na utawala bora uwe unatumia busara hii siyo haki hata kidogo serikali iliajiri watumishi wa Mahakama ,Afya,mikoani nk mwezi June 2016 kwa kufata taratibu zote za ajira baada ya hapo liwapangia vituo vya kazi na kuanza kufanya kazi walipofanya kazi mwezi mmoja walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa lengo la kuhakiki watumishi hewa barua hiyo hii hapa


Baada ya uhakiki hawakurudishwa kazini na walipofatilia waliambiwa wamefukuzwa kazi bila sababu katibu mkuu utumishi wa umma Jana akiongea na gazeti la mwananchi amesema amewafukuza kazi waajiriwa wote wa mwezi June 2016 bila kutaja sababu huku wao ndoo waliwaita kazini na kuwasainisha mikataba na kuanza kufanya kazi je ? Hii haki hivi serikali ya magufuli ya wanyonge ndoo iko wapi ? Nini kosa la waajiriwa hawa wapya wa Mahakama,mikoani ?
 
Tafuteni kazi mahali pengine mbona mnaingangania serikali sana? Imeshasema mrudi makwenu hadi mtakavoambiwa vinginevyo
 
vipi mkubwa hii habari ni ya ukweli au uongo
Ni ukweli ila wengi tumevaa vinyago inapotokea mtu amesahau kuficha au kuvaa vibaya kinyago chake ni vyema akarekebishwa. Analozungumza ni sahihi na yeye anatetea ajira yake ila amejisahau kuvaa kinyago.
 
Serikali inaendelea kutoa ajira kama Rais alivyosema,na kuhusu hizo kada pale Serikali itakapokuwa tayari itatoa ajira tu wala haijasema kuwa haitaajiri.Ila si muda unaotaka wewe.
 
Serikali inaendelea kutoa ajira kama Rais ulivyosema,na kuhusu hizo kada pale Serikali itakapokuwa tayari itatoa ajira tu wala haijasema kuwa haitaajiri.Ila si muda unaotaka wewe.
Hahaha habari za Lumumba ?
 
Tafuteni kazi mahali pengine mbona mnaingangania serikali sana? Imeshasema mrudi makwenu hadi mtakavoambiwa vinginevyo
Hakimu akatafute kazi sehemu nyingine?

Huku ndio kuisoma namba. Uzuri wetu tuko kama inzi, kesho tu tutasahau yote na kucheka na shetani yule yule, wa mbuyu ule ule
 
Naona MP chachandu unahangaika hahahaaa
Utakua ndo yule yule kati ya hawa
Mzee wa giningi, nkanga chief au Lt cnl wa kwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…