MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 615
Katibu mkuu utumishi wa umma na utawala bora uwe unatumia busara hii siyo haki hata kidogo serikali iliajiri watumishi wa Mahakama ,Afya,mikoani nk mwezi June 2016 kwa kufata taratibu zote za ajira baada ya hapo liwapangia vituo vya kazi na kuanza kufanya kazi walipofanya kazi mwezi mmoja walipewa barua za kusitishiwa ajira kwa lengo la kuhakiki watumishi hewa barua hiyo hii hapa
Baada ya uhakiki hawakurudishwa kazini na walipofatilia waliambiwa wamefukuzwa kazi bila sababu katibu mkuu utumishi wa umma Jana akiongea na gazeti la mwananchi amesema amewafukuza kazi waajiriwa wote wa mwezi June 2016 bila kutaja sababu huku wao ndoo waliwaita kazini na kuwasainisha mikataba na kuanza kufanya kazi je ? Hii haki hivi serikali ya magufuli ya wanyonge ndoo iko wapi ? Nini kosa la waajiriwa hawa wapya wa Mahakama,mikoani ?