Katibu Mkuu UN: Nchi zilizoendelea zinapaswa kujifunza jinsi nchi za Afrika zilivyoshughulikia suala la COVID - 19

Duuu, ila kusema ule ukweli, walitutabiria, wakasema kufikia machi katikati, watakuwa wamezagaa mitaani wanaliwa na kunguru.
Lakini Mungu ni mwema. Wanachungulia lakini hamna kitu.
mmmmh mkuu mbona lugha ngumu sana umetumia
 
Nyamipua yalitutabiria mabaya lakin Mungu kayaumbua

Idadi ya Waafrika mpaka leo waliokufa kwa Corona ni sawa na Mimarekani iliyokatika ndani ya saa 48

Vile vi graf na charts zao zilionesha tarehe hizi Kunguru wangekuwa wanadonyoa maiti zilizozagaa mabarabarani
 
Ila mwezi March UN Chief mwenyewe alisema hivi...
====
Covid-19 could kill millions in Africa without immediate action: UN chief

United Nations Secretary General Antonio Guterres says he fears “millions and millions” of coronavirus cases in Africa, where the youth will not be spared. He called on wealthy countries to help the developing world, for their own sake.

Guterres told RFI that Africa should be the priority of the international community as the continent does have the resources to fight the Covid-19 pandemic.

“Ninety percent of the cases are in the G20 countries which hold 80 percent of the global economy. They shouldn’t be working alone, each in their corner, but in a coordinated manner to find treatments and vaccines to put at the world's disposal,” he said.

Guterres says at least three trillion US dollars, around 10 percent of the world’s GDP, is needed to slow the spread of the coronavirus for vulnerable countries in the Global South.

He backed French President Emmanuel Macron’s call for the international community to make the African continent its top priority.

“This is not a financial crisis like in 2008,” he said.
According to figures published by the African Union, there are 3,924 cases of Covid-19 in Africa and 117 recorded deaths across 46 countries.

“Africa is in urgent need of test kits, masks, ventilators, protective suits for health workers," said Guterres. "We can still prevent the worst in Africa but without a massive mobilisation we will have millions and millions of people contaminated, which means millions of deaths,” adding that Africa’s booming youth population will not be spared.

Coronavirus mutating

According to Guterres, the risk of the coronavirus mutating is higher given the fast rate at which it is spreading globally.
“As the virus mutates, all the investment we are putting into vaccines will be for nothing because the virus will then travel from the South back to the North. So it is in the interest of countries in the North to help the South,” he told RFI.

He added that the G20 could coordinate aid towards Africa, in terms of health supplies, medical treatments and financial packages.
 
Amesema ya kuwa hali imekuwa tofauti na walivyofikiria hapo awali.
 
Akihojiwa na Radio France International, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UM) Bw. Antonio Guterres amezishauri kuiga jinsi nchi za Afrika zilivyoshughulikia suala la ugonjwa mpya wa COVID - 19

Amesema nchi za Afrika zilichukua tahadhari mapema kuhusu ugojwa huo. Matokeo yake maambukizi yamekuwa kidogo sana kuliko ilivyokuwa ikibashiriwa na pia kuliko ilivyo kwenye maeneo mengine duniani.

"Afrika bado ina maambukizi kidogo sana, pia vifo vilivyoripotiwa ni vichache mno", aliongezea katibu mkuu huo. Mataifa mengine yanapaswa kuona nini kilifanyika mpaka madhara ya ugonjwa huu

Chanzo: DWradio Jioni 20/05/2020

Siri ni kupiga NYUNGU ama kujivukiza.
Kuna watu wengi sana wako Brainwashed hawaamini kuwa haya majani tunayotumia ni dawa nzuri sana
 
Huyo katibu angejua namna tunavyodondoka kimyakimya asiongeongea hayo maneno .
 
Screenshot_20200521-145855.png
 
Huyo katibu angejua namna tunavyodondoka kimyakimya asiongeongea hayo maneno .

Ana vyombo vya kumpa taarifa. Hawezi kuongea tu kama mtu wa kawaida. Yule ni taasisi. Anaongea kwa vielelezo.
 
Pamoja na kuwa maambukizi bado yako chini, tuendelee na kuzidi kuzingatia ushauri ambao unatolewa na wajuvi wa masuala ya Afya.
 
Back
Top Bottom