VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kata Ishirini Zinaitoa Jasho CCM...utawala uliofitinika miluzi mingi humchanganya mbwa ndio kinachotokea ha ha ha no rule of order kila mtu matamko makatazo majigambo wanadhani nchi ni kichaka unatawala utakavyo sasa hao wawakilishi wa mkulu waliogawanywa na kupewa maagizo mkanganyo wanajisikiaje si ni kama wapuzi sasa kata 20 tu tayari hongo na kuvurugaa utaratibu halafu wanajifaanya sisi watanzania hatuelewi upuuzi sana aisee
Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali ya Mitaa,Mhandisi Mussa Iyombe amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Humphrey Polepole kuacha utaratibu wa wafanyabiashara wa Soko la Ndizi Mabibo uendelee.
Katibu Mkuu Iyombe ametoa agizo hilo jioni ya leo alipokutana na wawakilishi wa wafanyabiashara wa soko hilo ofisini kwake. Akitoa agizo hilo kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo,Katibu Mkuu Iyombe ametaka utaratibu wa kukusanya ushuru na ulipaji kodi uliokuwepo uendelee.
Katibu Mkuu Iyombe amesema kuwa kama kutakuwa na haja ya mabadiliko au maboresho yoyote,wafanyabiashara wahusishwe. DC Polepole 'alilichukua kimabavu' soko la Mabibo na kuanza kukusanya mapato sokoni hapo kupitia watumishi wa Halmashauri bila kujali uwepo wa Kampuni ya Majimoto ya wafanyabiashara hao iliyopangishwa eneo hilo na Kiwanda cha Urafiki,mmiliki wa eneo husika.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Polepole amepata pigo la Mwenyezzi Mungu kwa usaliti wake amekaa na mkuu wa mkoa anayemuogopa asije akapewa yeye ukuu wa mkoa kwa sababu kichwani mwake hana mipango sasa wanamkandamiza amebaki kulalama facebook wanajifaanya hawaoni hilo ndilo tunda la kusaliti wananchi na kutukana watu wazima bado kufa tu kwa sasa ni very irrelevant hawezi hata sema kitu channel ten watu wakamsikilizaKwani hao wafanyibiashara wanakusanya hayo mapato kwa niaba ya halimashauri?Kama sio Katibu haoni kwamba anaikosesha halimashauri mapato?Na hata kama hao wafanyibiashara wanakusanya mapato kwa niaba ya serikali labda DC kaona kuna ujuaji.Dah,pole zake Humphrey,siasa ni ngumu sana.Kiutendaji hii inakatisha tamaa sana.Humprey aachie ngazi tu,hatawezana na waswahili hao.
Why Comrade?Mambo yanayoendelea nchini hapa najisikia kizunguzungu tu.