Mnama
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 3,223
- 3,173
ngoja atekwe ndugu yake bado hajasema.Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya, ametoa kauli kuhusu madai ya utekaji nchini wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Kisabya alidai kuwa baadhi ya watu wanatumia madai ya kutekwa kwa malengo ya kuchafua taswira ya nchi. Pia alihimiza kuondoa mtazamo wa kisiasa kama ugomvi, akisisitiza umuhimu wa mijadala yenye kujenga badala ya kugawanya taifa.