Katibu mkuu nishati na madin asimamishwa kazi.

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Habar zilipatikana hv punde zinasema kuwa bwana David Jairo amesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za kuchangisha mchango wa tsh. 50 ml. Kwa kila taasis ya wizara hyo ili kufanikisha kupitishwa kwa bajeti ya wizara hyo. Source: itv.
 
Ndio kwanza nafika kutoka Sauz, hata sijapumzika nani katoa hilo tamko? Kwanza simfukuzi namsitaafisha kwa manufaa ya umma ili aendelee kupata mafao yake. Wabongo mna chuki. Sijui kesho nikazurule wapi. Aaaah kwa Bw. mdogo bagamoyo.
 
kazi kweli
 
Kasimamishwa halafu badae atarudishwa kazini si ndio wadau au inakuaje!

Atahamishiwa wizara nyingine ameambiwa atulie mpaka mambo yawe yamepoa kama ya Dowans sasa wanalipa.
Amesimamishwa bila ya Malipo au analipwa?
 
Habar zilipatikana hv punde zinasema kuwa bwana David Jairo amesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za kuchangisha mchango wa tsh. 50 ml. Kwa kila taasis ya wizara hyo ili kufanikisha kupitishwa kwa bajeti ya wizara hyo. Source: itv.

Katibu Ndio mzaidizi mkuu wa waziri kama yeye kafanya kosa hili na hatua aliyo chukuliwa ndio hii, Je? waziri anasubiri nn.Nataraji kesho kusikia waziri yuko Segerea pamoja na katibu wake.
 
Back
Top Bottom