Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

Hili ni swali muhimu lakini kabla ya majibu Yale hebu nikumbushe hivi katibu mkuu aliyejiuzuru alifanya ziara ya kichama Mkoa wa Mwanza kwa Mara ya kwanza mwaka gani?
 

Jamani ni Rais Magufuli ndiye amewapotezea dira kwani anatekeleza sera zao. Sasa waseme nini?
 
Kama ilivyotabiriwa na wengi wenye akili Kama Mimi kwamba hakuna mwenye sifa CDM ya kuvaa viatu vya Dr. Slaa aliyedhulumiwa nafasi ya kugombea Urais kwa Tiketi ya Chadema/Ukawa kwa tamaa za waliodhani kwamba watakwenda Ikulu!
Mpaka sasa Huyo Katibu Mkuu Mpya wala hafahamiki kabisa na sembuse CDM hawana hoja za kuzungumzia kipindi hiki Baada ya kukubaliana kwamba Ufisadi sio dhambi Kwao! Poor CDM where is your destination? Enyi Viongozi wetu wa CDM ni nani aliyewaroga??????? Dr Slaa tunakukumbuka sana na tunafikiria japo kwa aibu kuja kukuangukia! Ni kweli tuliteleza kwa tamaa zetu lakini mambo yetu magumu sana wala hatuna mwelekeo tena!
 
...mbona huulizi alipo wa ccm, tlp, cuf, nld, chauma n.k. for sure chadema/ukawa leads the way..! mtapwelepweta sana mwaka huu.......
 
Angeanza kazi maramoja mngesema amekurupuka nk tumpe muda inawezekana anasoma mazingira kwanza na kupikwa kwanza, ni mapema sana kujua uwezo wake.
 
Ulizia katibu mkuu wa CCM? Sio kila wakati Wawe wanaongea wataongea Pumba sasa
 
Bado hajaanza kazi rasmi. Tumuulizie yule mwizi wa nyara za serikali wa lumumba.......
 
Kwanza tuanze na Dr slaa yeye yupo wap....??? Zen ndio tuje kwa uyu wa thatha
 
Anajipanga atakuja kwa kasi hadi mtashangaa
 
Nenda ofisin kwake kaulize ukimkotha jaribu kuomba namba yake ili muongee iyo shida uliyo nayo
 
Kimya kingi kina kishindo kikuu!!! Huku mitaani mizuka ya rais inaendelea kupungua.
 
Kuwa Mchaga ni fahari sio aibu. Labda kuwa ... kama wewe ndio aibu.
 
Kwa mtu yoyote wa CCM mwenye akili timamu lazima aongope huu ukimya Mkubwa wa Mashinji na CDM kwa ujumla, maswali ya hawa jamaa yanaonesha wazi wameogopa sana ndio maana ukimya wa Kinana hawawezi kuuhoji hata kidogo

Mbona simsikii Katibu Mkuu wa CCM Kinana? mbona mambo ya CDM yanawawasha sana? Kwa wewe mtu wa CCM hivi CDM ikifa si ndio furaha kwako? mbona mnahangaika na kutapatapa? Najua mmekumbwa na hofu kubwa, mnaujua uwezo wa Dr Mashinji, kimya chake kinawapa shida! mnataka kujua atakuja na nini!! Chama kinaendeshwa kisayansi zaidi, kwa sasa zinapigwa za chini kwa chini, siku zikianza za kwenye majukwaa Baba Majipu wenu chali!
 
Katibu mkuu kiingozi yupo wapi mbona hasikiki kama alivosikika ombeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…