Hizi fikra za kuwa waislamu hawana elimu ni mawazo ya kijinga. Mnataka kusema hakuna waislamu hata 9 waliokuwa na elimu na uwezo wa kuwa mawazi, au 9 wa kuwa manaaibu waziri? Au 9 kuwa wakuu wa mikoa nk? Au 9 wa kuwa makatibu wakuu, au 9 kuwa PS nk.
Msituleteye karaha na maudhi, tuwe wa kweli na tugombeane haki . Tanzania ni yetu wote na inatutosha sote, tuendelee kuishi kwa raha na mapenzi. Nchi ikichafuka inatuchafukia sote. We have to stand United and fight nepotism and religious biaseness.