Katibu mkuu Kinana anajua kinachoendelea....

Katibu mkuu Kinana anajua kinachoendelea....

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,467
Reaction score
9,053
Baada ya usanii uliopita kifani na kugundua kuwa anguko la chama limefika kaamua kuendeleza michakato mingine. Sina uhakika kama anajua kinachoendelea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, walio karibu naye mjuzeni!
kinana.jpgNRM Chairman President Museveni with Abdalhuman Konana (CENTER) Seceretary General of Chama Chama Mpidunzi (CCM) of Tanzania,and CCM member Ali Abedi Kanume during the NRM Delegates conference at Namboole on Monday December 15, 2014
 
Teh teh teh teh laha ndani ya loho sikio la kufa hilo mjomba huwa halisikii dawaa
 
CCM ni ma-opportunist tu....as long as CCM cashes them, they don't care about election results.
 
Baada ya usanii uliopita kifani na kugundua kuwa anguko la chama limefika kaamua kuendeleza michakato mingine. Sina uhakika kama anajua kinachoendelea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, walio karibu naye mjuzeni!
View attachment 211236NRM Chairman President Museveni with Abdalhuman Konana (CENTER) Seceretary General of Chama Chama Mpidunzi (CCM) of Tanzania,and CCM member Ali Abedi Kanume during the NRM Delegates conference at Namboole on Monday December 15, 2014

Really? Do U think CCM ndo imefikia mwisho,I don't think so,hiki Chama kina mizizi mirefu sana,fahamu upepo wa siasa hubadilika muda wowote,
 
Korogwe vijijini CCM imeshinda vijiji 117, CDM 2, CUF 1. Bado vijiji 2. Korogwe Mjini CCM imeshinda mitaa na vitongoji vyote kwa 100%.

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Songea mwisho; CCM imepata mitaa 70, CHADEMA 23 na CUF 2.

Matokeo wilaya ya Kyela. Vijiji 93: Matokeo yaliyo vijiji 67, CCM 62 na CDM 5. Vitongoji 411, vilivyo tayari 257; CCM 214 na CDM 43.

MATOKEO KATA YA SINZA:- MTAA SINZA "D" MKT CCM 453, CDM 283 WAJUMBE WOTE CCM. MTAA SINZA "E" MKT CCM 566, CDM 222 WAJUMBE WOTE CCM.

MATOKEO KATA YA SINZA:- MTAA WA SINZA "A" MKT CCM 430, CDM 354. SINZA "B" MKT CCM 439, CDM 253. SINZA "C" MKT CCM 583, CDM 244.

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mtwara Manispaa: Jumla ya Mitaa ni 111: CCM imeshinda mitaa 58 na CUF wamepata 53.

Mufindi, Iringa Mitaa; 30 Chadema 1 Ccm 29 Vitongoji: 606 Chadema 9 Ccm 597 Vijiji 128: Chadema 1 Ccm 127

SHINYANGA MJINI Vitongoji: 83 CCM = 65 CDM= 18 78.3% VIJIJI: 17 CCM= 14 CDM= 03 82.5% MITAA: 55 CCM = 26 CDM= 29 47.2% Kata 4 kwa 100%.

Matokeo ya jumla Iringa manispaa, CCM mitaa 130 ukawa 52.

Matokeo Chalinze. VITONGOJI Jumla 610 Bila kupingwa 303 Uchaguzi 262 Ushindi 242 Sawa na 90% CUF 10 CDM 10 Tutarudia 45.

Matokeo Chalinze VIJIJI Jumla 75 Bila kupingwa 38 Uchaguzi 29 Ushindi 29 Sawa na 100%

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Singida mjini: Mitaa yote vimechagua CCM.

Kutoka Dodoma, Kata ya Majengo mitaa yote CCM Imeshinda
 
hapana mkuu,nia yangu ni kuwataka wote tuwe realistic,kuiangusha CCM siyo lelema hata kidogo

Hawa wanachomaanisha ni kuwa watanzania wamelia sana na hiki chama na maamuzi yao ya kiuwendawazimu kila mara na hasahasa kulindana katika mambo yote ya wizi wa mali za umma. haijalishi kwao kuwa either wamepata viti vichache au kidogi sana lakini wameweza kuwakumbusha watawala waliolala kuwa chochote chaweza kutokea kwao kwani ni binadamu waliotokana na jamii hii hii!!
 
Really? Do U think CCM ndo imefikia mwisho,I don't think so,hiki Chama kina mizizi mirefu sana,fahamu upepo wa siasa hubadilika muda wowote,

si kwa sasa....mizizi ikishaanza kuoza hakuna tiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom