OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,658
- 120,289
CHADEMA kimesema mchakato wa kumpata Katibu Mkuu utaanza mwezi ujao. Mwenyekiti ndiye mwenye jukumu la kupendekeza jina na kulipeleka Baraza Kuu kupigiwa Kura, kisha kupitishwa. Nafasi ilibaki wazi baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu Dr.Slaa KUJIONDOA katika kipindi cha uchaguzi. Nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Salum Mwalimu ambaye ni Naibu Katibu Mkuu.