GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 6,266
- 9,239
mwenyekiti awe lowasa...katibu mkuu awe kingunge....hapa chama kitasonga mbele.....mbowe apumzike sasa
naunga hoja mbowe kachoka
mwenyekiti awe lowasa...katibu mkuu awe kingunge....hapa chama kitasonga mbele.....mbowe apumzike sasa
najua mgogoro utazuka tena chadema katika hilo..maana wanaopenda uongozi alafu hawana sifa watalalamika sana wasipoteuliwa wao
Akili ni hazina, wewe huna hazina!Freema.Mbowe Anaogopwa Na Magamba hakuna mfano wake !??
Amewarudishia Mchezo wa kanyaboya ya ufisadi !! Watakomaaaaaa
WEWE wacha dhihaka na ujinga, BEN SAANANE ANATOSHA, ni kijana anaipenda CDM kwa Dhati, uwezo anao na anatimiza vigezo vyote hata CHA ukanda. Nawashauri vijana wote wa CDM waunge mkono ushauri wangu na wamfanyie kampeni. It's time of young and dynamic generation
Kila la heri chadema , tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu .
Ili upinzani ukue na chadema ikue, mnahitaji mwenyekiti mpya na kijana tena mwenye maono makali, ukatibu mpeni J. Mnyika. Mkiendelea na Mbowe, mtaendelea na ule wimbo wa 'TUNAIBIWA' kila kukicha!Najua CHADEMA sio wajinga kiasi cha kushindwa kumpata katibu mkuu bora zaidi.
Binafsi nilimkubali sana Dr Slaa lakini hakuna point of U return.
Natamani asitoke miongoni mwa hawa watu wanaotajwatajwa.
Awe somebody able and smartest.