Katibu Mkuu CHADEMA Dr.Vicent alaani tukio la Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kuvuruga uwekaji wa jiwe

RC anatekeleza ilani ya chama.
Amepewa maagizo toka juu.
Alichofanya RC pia Makonda ameshawahi kufanya akatunukiwa cheo.
 
Rafiki na ndugu yangu Mrisho_Gambo, AJISAHIHISHE. Haipo lugha nyingine ya kumsaidia zaidi hiyo. Wapo baadhi ya watu wanampenda Mrisho, nikiwemo mimi, lakini wapo watu wengi zaidi, wengi sana, wanaompenda na kumuunga mkono Lema. Kumshughulikia Lema katika jambo ambalo ameliwekea nguvu na juhudi siyo sahihi hata kidogo. Mfano huu wa Arusha uwe KIELELEZO cha yale wanayotendewa wabunge wetu mikoani, hasa wabunge wa Vyama vya Upinzani. Nimkumbushe ndugu yangu Mrisho, kwamba yeye (Mrisho) ameteuliwa halafu mwenzie (Lema) amechaguliwa. Mrisho asijiunge na kundi la wazee wa CCM ambao hudhani vyeo hivi ni dhamana ya milele. Mrisho tunayemjua si huyu aliyetenda vile. Mrisho, you have your senses brother, let them lead you, come back to your senses!
 
Hizi laana sijui mtaendelea kulaani mpaka lini , Wenzenu saa hii wanagonga Cognac na Kiko pembeni na mtoto mmoja laini hivi kwa kujipongeza
 
Gambo sasa kawa mgambo wa City Council. Analaaniwa kila kona. Anaona haya hata kufika ofisini kwake. Aibu imemvaa. Lengo ni kumchafua Lema na CHADEMA yake. Sasa kachafuka mwenyewe. Akina mama wa Arusha hawataki hata kumsikia. Gambo amezua jambo.
 
Lema naye ashauriwe kupunguza mihemko...RC alialikwa na wahusika kama Guest speaker...Na wakati anaongea ndipo Lema akasimama na kuanza kupiga makelele...Na si wakati wa uwekaji jiwe la Msingi...Sote tumeona video..Lema alikuwa anapiga kelele wakati RC Mrisho Gambo akiongea...
IMG_8745.PNG
Rafiki na ndugu yangu Mrisho_Gambo, AJISAHIHISHE. Haipo lugha nyingine ya kumsaidia zaidi hiyo. Wapo baadhi ya watu wanampenda Mrisho, nikiwemo mimi, lakini wapo watu wengi zaidi, wengi sana, wanaompenda na kumuunga mkono Lema. Kumshughulikia Lema katika jambo ambalo ameliwekea nguvu na juhudi siyo sahihi hata kidogo. Mfano huu wa Arusha uwe KIELELEZO cha yale wanayotendewa wabunge wetu mikoani, hasa wabunge wa Vyama vya Upinzani. Nimkumbushe ndugu yangu Mrisho, kwamba yeye (Mrisho) ameteuliwa halafu mwenzie (Lema) amechaguliwa. Mrisho asijiunge na kundi la wazee wa CCM ambao hudhani vyeo hivi ni dhamana ya milele. Mrisho tunayemjua si huyu aliyetenda vile. Mrisho, you have your senses brother, let them lead you, come back to your senses!
 
Gambo hawezi kutenguliwa uteuzi kwa sababu ya propaganda za bavicha.

Gambo amefanya makubwa Arusha kuliko hii singeli isiyo na maana yoyote tunayojaribu kuimbiwa na chadema.

Gambo alipofika tu Arusha alifumua uozo wote wa chadema ikiwemo madiwani wa chadema kujilipa posho za kifisadi, aliwaamrisha hela zote wazirejeshe na akaamru zikalipe madeni ya walimu..

Kwa mazuri haya, chadema mtasubili Sana uteuzi wa Gambo kutenguliwa.
 
Kwa hiyo.unataka niseme nini? Kwa clip niliyoiona mimi nimeona kwamba Lema ndiye kaleta vurugu. Naomba ya kwako inayoonyesha Mkuu wa Mkoa akileta vurugu kwa sababu mimi.sijaiona.
Sawa ila Panua Ubongo.
 
Back
Top Bottom