Huyo wanaetaka kumkabidhi uenyekiti ni mNec?Katiba ya ccm inasema katibu mkuu atachaguliwa miongoni mwa wajumbe wa nec,hivi Ally ni m Nec?
Huyu alieua ATCL na wazungu wa saa unakichaa kweli
Ndio ,kwa mujbu wa katiba yetu,Rais wa muungano,Rais wa zanzibar,makumu wa rais muungano,makamu wa pili wa rrais,waziri mkuu,maspika bunge na uwakilishi wanaingia nec na cc moja kwa moja kwa nafasi zao,ndio maana tunataka tumkabidhi magufuli chama afyeke kichaka cha mafisadi waliojificha chamaniHuyo wanaetaka kumkabidhi uenyekiti ni mNec?
Ndo huyu Mfuluki wa Geita?
kumbe nyie hamsomi alama za nyakati labda aitwe alama mafuruki lakini kwa jina hilo na hawa wabaguzi tulio nao atasubiri sana kama yule wa nnnsssffff. Tuna mtihani zaidi ya unavyo dhaniHuyu aliyekuwa anaandaa midahalo ya vyama akijitia kuwa hana chama???
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
CCM ijayo si ya matajiri tena ni ya makabwela.Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
Sawa mkuu, ila sitaki kufika huko unakotaka kunipelekakumbe nyie hamsomi alama za nyakati labda aitwe alama mafuruki lakini kwa jina hilo na hawa wabaguzi tulio nao atasubiri sana kama yule wa nnnsssffff. Tuna mtihani zaidi ya unavyo dhani
Huyo mufuruki aliyeshindwa dar es salaam gymkhana club akatolewa mkuku leo wampe "hii kitu"