Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru: Hatutishwi na matamko

Bashiru Bashite bure kabisa. Anabhruzqa na nja
 
Ila Jiwe katulia round hii
Hawajamwita kaimu balozi
 
Huyu naye kashalishwa sumu ya lumumba wallahi
 
Makombora ya wazungu ni kukunyima misaada ikiwemo na ARVS , ukumbuke kwamba 95% ya viongozi wako wanaishi kwa kutumia nguvu ya hiyo kitu kutokana na mikesha ya mwenge
Daaaa nimecheka sana ingawa sikukusudia kucheka
 
Ukweli ndio huo. Sisi ni nchi huru, tunajiamulia mambo yetu wenyewe na uongozi wetu mahiri chini ya jemedari wetu JKN II. Watuache na maujinga yao kabisaaaaaaa
Naona umepata mzuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…