Katibu katibua au katibuliwa?

Kristo Yesu baba wa mbinguni Kumbe ni hivi ngoja nilale [emoji3064]
 
Kristo Yesu baba wa mbinguni Kumbe ni hivi ngoja nilale [emoji3064]
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
When immortal is missing mortal[emoji3]
 
Too sad...[emoji24] risasi za majimaji? Ama bibie ni mpenzi wa miruko ya wandewa halafu mr ni mimi naogopa harufu!?[emoji1544][emoji1550]
Ukute mchungaji hata habadirishi styles anatumie ile takatifu tu iliyoko kwenye biblia. Connection ya ma mchungaji umeiona?🤣
 
Dah, sikujua kama ujumbe wenyewe ni huu. Kama ni huu, ki ufupi Masanja hana mke hapa,l.
 
Dah, sikujua kama ujumbe wenyewe ni huu. Kama ni huu, ki ufupi Masanja hana mke hapa,l.
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
 
Hongera kwa kuwa na ujasili huo

Ila kugongewa MKE inauma SANA

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Your browser is not able to display this video.
 
hajamtaja mkewe sehemu yoyote ile jmani ...sijui ana hali gani dada wa watu
 
Unajua katika nafasi nilizosoma sana ni investigation criminal yan nmesoma mno yan kuhusu masuala ya vifo yana mafumbo mengi ndani kwa mfano vifo hvyo vilivyotokea hivi karibun viko wazi kabsa taarifa hazipo za ukweli ni uongo mtupu kabsa yan
 
Yan mtu aibe mke wa mtu tena wa boss wake alafu amuombe wasiachane kupitia ukurasa wa instagram? ??

Alafu anamambia kama huu ndio usia wa mwisho usiponikubalia najiuwa kweli? ?? Ina maana mwanamke ataingia instagram ili akasome alichoandikiwa na katibu ili asijiuwe? ??? Hivi katibu hakuwa na hofu kabisa kuomba penz la mke wa boss wake mbele ya adhara tena instagram bila kumuogopa MWAJIRI wake kweli? ?? Hivi inawaingia akilini nyie [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hebu tufanye katibu yupo hai ndio kaandika vile instagram alafu mwanamke akamjibu sawa usijiuwe tutakuwa pamoja kwahio pale instagram katibu atakubali kuwa na uhasama na boss wake kwa kuiba mke wako? ??

Hata hamza alikuwa katili lakin sio kwa uongo huu yan mtu anajitangaza instagram kuwa atajiuwa kisa mke wa mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yan kila nikiendelea kufanya chunguzi zangu bado sipati taarifa za kuunga mkono juu ya kifo hicho mm naona na taarifa batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…