Tuviachie vyombo vya dola vifanye kazi yake😂Mmh[emoji3064] kwamba?
Noma sana!Mbunye huwa IPO kama msumemo inakupiga kotekote inakupa furaha inakupa furaha na maumivu,hii INA apply kwa wote walioa na ambao hawajao.Ukiwa umeoa unapata utamu lakini vilevile unatafuta kwa jasho na kusalitiwa juu.
Uanaume mateso,labda huko mbinguni tutapata ahueni-hapa duniani tukubaliane tu kuzaliwa Mwanaume ni zaidi ya maumivu.
Mimi nawaza inakuwaje niolewe.na mwanaume ambae simpendi? Maana ndo hayo hapo kama hakuna upendo ndo hayo kuchepuka.
Kwa upande wangu wanaume wapo wengi wanotaka kunioa hata leo nikisema niko tiyari natolewa mahali.
Tatizo liko kwangu kama simpendi mtu siwezi kumpotezea mtu muda eti kisa ndoa?bora niikose.
Kuna mwanaume nilimpenda ila ndo hivyo hakunioa,nili move on na maisha yangu.siku nikipata kama yule au anaekaribiana nae basi nitafanya maamuzi. Akikosa ndoa sio lazima, mm ntu ambae simpendi siwezi kusema hata nikubali mawasiliano nae yaani siwezi.
Wanawake sasa hivi wanaolewa kwa mkumbo ili watu wajuwe wameolewa ila kiundani hakuna mapenzi mwisho anachepuka, wanagombana na kuuana sometimes.
Nimefurahi kujua hujaoelewa. Ngoja nianze mchakatoMimi nawaza inakuwaje niolewe.na mwanaume ambae simpendi? Maana ndo hayo hapo kama hakuna upendo ndo hayo kuchepuka.
Kwa upande wangu wanaume wapo wengi wanotaka kunioa hata leo nikisema niko tiyari natolewa mahali.
Tatizo liko kwangu kama simpendi mtu siwezi kumpotezea mtu muda eti kisa ndoa?bora niikose.
Kuna mwanaume nilimpenda ila ndo hivyo hakunioa,nili move on na maisha yangu.siku nikipata kama yule au anaekaribiana nae basi nitafanya maamuzi. Akikosa ndoa sio lazima, mm ntu ambae simpendi siwezi kusema hata nikubali mawasiliano nae yaani siwezi.
Wanawake sasa hivi wanaolewa kwa mkumbo ili watu wajuwe wameolewa ila kiundani hakuna mapenzi mwisho anachepuka, wanagombana na kuuana sometimes.
Unaniharibia mchakato wa jamaa...Hahahah[emoji23] hakupendiii
Nakukabidhi Monica....Nipe hela nisikusagie kunguni.[emoji1550]
Hivi umegoma kuzeeka kweli? Au ndo mwanaume hazeekagi jamani?Nimefurahi kujua hujaoelewa. Ngoja nianze mchakato
Dah .... Hiki kibuti ulichonipiga ni staili ya Monica mama mchungajiHivi umegoma kuzeeka kweli? Au ndo mwanaume hazeekagi jamani?
Kwani ni 100% kuwa Halima na Bulaya wako penzini au ni maneno ya maadui wao wa kisiasaWakipeana raha wenyewe
babu hebu nenda kule kwenye uzi wangu weka tiki npande juuNilishasau siku nyingi sana kupiga kura
Uzi upi?babu hebu nenda kule kwenye uzi wangu weka tiki npande juu
Emotions ni kama ukifungua soda ile gasi na povu linalotaka kabla hujanywa soda ndo emotions unatakiwa usubirie lipoe ndo unywe ukiwa na haraka ndo yana tokea haya yakutokea.[emoji23][emoji23] me kumchapa mtot tu siwezi cjui ata naonaje yaan je wife? Ivi hao wanaofikia hatua ya kuua wanakua na roho gan? Me wife ata anifanyie kosa gan sitonyanyua mkon wng kumpiga akizingua ni kumfukuza tu nyumban kwang bc hakuna namna nyengine
Katibu kafa kizembe . Wambea wanasema ati ba mchungaji wizara ya nambo ya ndani haifanyi kazi vizuri, sasa katibu angeendelea kuibaiba ati kajiua? Bure katibuDah .... Hiki kibuti ulichonipiga ni staili ya Monica mama mchungaji
Ngoja niwe makini nisije nikadedi kama katibu
Too sad...[emoji24] risasi za majimaji? Ama bibie ni mpenzi wa miruko ya wandewa halafu mr ni mimi naogopa harufu!?[emoji1544][emoji1550]Katibu kafa kizembe . Wambea wanasema ati ba mchungaji wizara ya nambo ya ndani haifanyi kazi vizuri, sasa katibu angeendelea kuibaiba ati kajiua? Bure katibu