Katibu katibua au katibuliwa?

Daah Mkuu upo sawa huo ndio Uzazi sio kidogo tu unamtishia na kisu ili iweje ndio maana siku ingine badala ya kutishiana wanachinjana kweli..
 
Pisi ina ma-ink ya kutosha. Which says possible ilikuaga ina mambo zile mingi back in the days, mwamba sijui alitumia technique gani kuiopoa na kuituliza ndani... At the end of the day nature prevails. So far its only fair to think "she" gender was most likely started stuffs and the nigga got pressed way too much to bear
 
At the end of the day nature prevails[emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Tukubali tukatae, kuna changamoto kubwa ya afya ya akili nchini kwetu na hii inatokana na ukweli kwamba malezi yetu hayafundishi vulnerability in any way. [emoji1752]
 
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Mwamakalanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, ameachwa akiwa na ulemavu wa kudumu baada ya kung’atwa kipande cha ulimi wake, na mwanamke anayesadikiwa kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi.

Kwa mujibu wa Kaka wa majeruhi, mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Leticia Elias mwenye umri wa miaka 40, alimwita jamaa huyo nyumbani kwake kwa lengo la kufanya mazungumzo, lakini baadaye walianza kufanya tendo la ndoa na kumtaka aingize ulimi kwenye mdomo wake (wanyonyane ndimi) na ndipo akatumia nafasi hiyo kumng’ata kipande chake cha ulimi.

Kufuatia tukio hilo, Kaka huyo wa majeruhi amesema kuwa, hali ya ndugu yake bado siyo ya kuridhisha kutokana na kidonda alichobaki nacho kwenye sehemu ya ulimi iliyobaki, na hawezi kula kwa njia ya kawaida licha ya kupatiwa matibabu na kuruhusiwa, baada ya kupewa dawa ya kutumia katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mwamakalanga James Jidayi, amekiri kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa, limetokea Septemba 29, mwaka huu majira ya saa tatu usiku, ambapo alipata taarifa kupitia kwa mtendaji wa kijiji.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamishna Msaidizi wa Polisi Janeth Magomi, amethibitisha kupokea taarifa za tukio hilo na kubainisha kuwa, wanaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo.
 
Aaah p alikuwa na tatiooo kifuani?
Ngoja nikalLe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…