Katiba za Vyama vya Siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba za Vyama vya Siasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MwanaHaki, Mar 18, 2009.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Mar 18, 2009
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Waungwana,

  Kwa kuwa kila Mtanzania ana haki ya kujiunga na chama chochote kile cha Siasa, basi, kabla ya kujiunga na chama hicho, anayo haki ya kusoma na kukagua katiba za vyama vya siasa ili apate kuelewa, kukubali na/au kukataa sera za vyama hivyo. Kwa mujibu huo, anayo haki ya kupata nakala - iliyochapishwa au ikiwa kwenye mfumo wa tarakinishi - za katiba za vyama hivyo vya siasa.

  Je, waungwana, wapi nitapata katiba za vyama vyote vya siasa vilivyosajiliwa hapa nchini?

  ./Mwana wa Haki
   
 2. K

  Kwaminchi Senior Member

  #2
  Mar 19, 2009
  Joined: Dec 30, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ema kwa msajili wa vyama au kwenye vyama husika.
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2009
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Nadhani CHADEMA wana katiba yao kwenye website yao. Sina uhakika na vyama vingine. Jaribu kuvi-google search.
   
 4. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kuna wanachama hapa JF watumie PM nadhani watakusaidia,

  CHADEMA wasiliana na Zitto ama Dr.W.Slaa
  CUF wasiliana na Mwiba
  CCM wasiliana na Kibunango ama FM ES
  NCCR Mageuzi wasiliana na Waridi

  Vyama vingine anayejua atakusaidia.
   
Loading...