Katiba ya wahenga ya Codes za Dating ime-expire!

Point yako namba 1 kwa wanaume rijali huwa haina maana mrembo.
Eti nimekufuata na umenipenda alafu usinipe mapema!?

Ni sawa na mtu mwenye kiu ya sigara, pombe, ganja, chakula au maji unapomnyima hatafurahia na inaweza kuwa chanzo cha kumkosa pia. Maana kwa suala la mapenzi ni zaidi ya hayo niliyotaja hapo juu. Upendo huwa una nguvu sana.

Wakati wewe unawaza usinipe mapema kwa kukuona mhuni, mimi nawaza nikupate mapema ili nifanye conquering.

Labda kama umekutana na tuvulana ndipo unaweza ku-apply hiyo njia yako.

Wanaume weekend hii tukutane kwenye kikao chetu cha mwanzo wa mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
hujamuelewa.
 
Back
Top Bottom