Katiba ya Tanzania

salisalum

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
418
136
Katiba ya nchi ni jambo linalogusa watu wote. Kwa hapa Tanzania nauliza tutumie lugha gani rahisi itayoenda kwa kila raia mwenye umri wa miaka 18 ili kumwelewesha na kumwezesha kuona umuhimu na uhusiano wa katiba ya nchi na maendeleo yake?

Watanzania wengi huenda (sina hakika na hili hadi kuwe na utafiti) hawajui hata katiba ni nini na inasaidia nini. Ndiyo maana msimamo wa chama tawala ni kuwa matatizo ya katiba yetu ni madogo tu yanaweza kurekebishwa na bunge na wananchi wanakubali hivo. Na wengi wanaweza kuona kwa muktadha huo kwamba wanaodai katiba ni watu wakorofi tu. Can we critically look at this?
 
Back
Top Bottom