Katiba ya ndoa/mahusiano

swali dogo tu. Umeolewa?
 
swali dogo tu. Umeolewa?

Wewe kila ID unayoona unafikiri ni mwanamke, Nafikiri ungeuliza Je? Nimeoa? Hta nikiwa nimeoa au kuolewa still it doesn't help or proves to you a point.
 
Wewe kila ID unayoona unafikiri ni mwanamke, Nafikiri ungeuliza Je? Nimeoa? Hta nikiwa nimeoa au kuolewa still it doesn't help or proves to you a point.

utanisamehe kweli maana nilifikiria hilo nikaamua kujilipua. Sorry kwa kweli
 
dada hujatoa suluhu. Umesononeka tu. Kama wanandoa wanashindwa kufuata matakwa ya Mungu wafanye nini?
suluhisho ni uacha njia zetu mbaya na kufata maandiko ya mungu ndoa na ziheshimiwe na watu wote.
 
Mwongozo siyo mbaya hata chembe.................................
 
Kabisa Man! na ikitokea vikavunjwa basi hadi mahakamani ifike na ikiwezekana adhabu kama faini au kifungo itolewe. Italeta heshima na kuwafanya watu wasiokuwa responsible wawe RESPONSIBLE.

Du! sasa ndoa zinakuwa kama kazi? hii inatisha sana
 
Du! sasa ndoa zinakuwa kama kazi? hii inatisha sana

ulidhani ni starehe tu? Kuna kazi ya kuaminiana, kupendana, kuzaa, kulea watoto n.k. Sasa haya yote yanahitaji mwongozo ulio wazi
 
ulidhani ni starehe tu? Kuna kazi ya kuaminiana, kupendana, kuzaa, kulea watoto n.k. Sasa haya yote yanahitaji mwongozo ulio wazi

Mimi nadhani ni muhimu kabla ya hawa watu kuingia kwenye ndoa wakajua umuhimu kwanza na yale watakayoyakuta mbeleni
 
Nakubaliana na hili wazo

Maadamu ndoa ni mkataba basi lazima masharti na vipengele vya kuzingatiwa kwenye mkataba huo viwe wazi kwa wahusika

Masharti na vipengele hivyo vinaweza kutoka kwenye vitabu vya mafunzo ya dini lakini viwe wazi kabla mkataba ndoa kusainiwa
 
Hapo mwalimu tupo pamoja na mimi huo ndio ulikuwa mtazamo wangu tokea mwanzo
 
Hapo mwalimu tupo pamoja na mimi huo ndio ulikuwa mtazamo wangu tokea mwanzo

kuna masharti na vipengele vyengine havija ainishwa kwenye vitabu vya dini............hapo wanaweza kujianishia wenyewe kwa manufaa yao.

'nani ana jukumu la kupika' inaweza kuwa mfano mmoja tu wa miongoni mwa yasiyo ainishwa kwenye vitabu husika
 
Kimsingi vipengele unavyovitaja ni muhimu na nafikiri ni muda muafaka wa kuanza kuvianisha na kuvijua hata kabla haujaingia kwenye ndoa tatizo ni kuwa wengi wetu hatusomi hivi vitabu vya dini kwasababu vitu vya msingi ulivyovizungumzia vingi viko kwenye vitabu vya dini na vinatoa muongozo wa majukumu ya msingi ya kila mmoja wetu
 
kuna masharti na vipengele vyengine havija ainishwa kwenye vitabu vya dini............hapo wanaweza kujianishia wenyewe kwa manufaa yao.

'nani ana jukumu la kupika' inaweza kuwa mfano mmoja tu wa miongoni mwa yasiyo ainishwa kwenye vitabu husika

The Following User Says Thank You to Gaijin For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
ndoa ndoa zimekuwa ndoa....katiba inahusu kweli kwenye hii sector?...mhhh tunakoelekea cpo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…