Katiba ya kampuni na article of association

Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
653
824
Habari
Naomba msaada kwa mtu yeyote mwenye soft copy ya katiba ya kampuni sample na article of association. Naomba kama mtu anayo anitumie. Hata aki upload hapa sio mbaya
Inaweza kuwa ya kiswahili au kingeleza ambayo imeandikwa kwa kutumia sheria za tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom