Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
kujaribu ni Maendeleo kujaribu ni sayansi, Huwezi kupata kitu sahihi bila kujaribu kwanza, acha umbumbu.Hata hao Tiss wakijitenga na ccm bado sana wapinzani kupewa nchi hii siyo ya majaribio wewe watu gani hawaeleweki wanasimamia nini ili mradi tu kuenenda na matukio
Wapuuzi! Mtu keshanza kutukana! Ukimuuliza TISS ni nini hajui....Daaaa....kudos mkuu, inekuwa Mzee wa facts &data. Mwenye kushindwa kuelewa itabidi tumpime malaria.
Bonge moja la point sidhani kama watu wamekuelewa kama nilivyokuelewa MimiHauko sahihi...
Kuna watanzania hawana uccm wala uchadema na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya Tanzania...
Eneo ulilopo inaonekana bado viroba vinapatikanamavi ya kuku kazi gani wanayo fanya nchi yenye utajiri usioweza kuhesabika lakini watu wanakufa kwa njaa na ukijitahidi kidogo basi nyumba yake inavunjwa na serikali
Yote mema unayoona wanafanya ni wajibu wao, hawafanyi kwa hisani. Hao ni waajiriwa Sawa na watumishi wengine wa umma, wanalipwa na kuishi kwa gharama za wananchi kupitia kodi wanazolipa, lasilimali , na dhamana mbalimbali za nchi. Hawa si watumwa wa chama chochote cha siasa, wanakiuka viapo vyao.Ungejua unyeti na umuhimu wa hao mabwana wa mstari , hakika usingekuja kubwabwaja maneno mbofu mbofu hapa jamvini namna hiyo.
Kukaa kwako , kulala kwako, kusatehe kwako, kujikuna kwako, kubarizi kwako, kusoma kwako, kuuza kwako genge, kuingia kwako JF muda wowote , kuangalia kwako taarifa ya habari saa 2 usiku, kwenda kwako msibani, harusini, n.k koooteeeee huko kunafanikishwa na kazi iliyotukuka ya hao mabwana either direct or indirect , either in a visible or invisible manner. Siku ukiwakosa wazalendo kama hawa hakika utalia na kusaga meno.
Ila kwasababu Watanzania ni watu wa style ya kinyonga , leo hii tutawaona kama hawafahi ila siku wakiingia hao wengine mnao dhani watakuja kuwaletea maziwa , asali na siagi. ndipo mtajuuuuta kukutwa na bwana pepsi na kubaki kusema " Tungejua......" .
Asiye sikia la mkuu .
Kazi za TISS ni kutengeneza tension za hovyo ktk jamii zinazoibeba CCM?Wapuuzi! Mtu keshanza kutukana! Ukimuuliza TISS ni nini hajui....
Kazi za TISS hajui ...hajui inafanyaje kazi zake...
Afu hapo hapo wanataka nchi...?
Ipo kazi sana...!
Ssa si mtenganishe na muweke tume huru..... afu mnavyosema BADO KUPEWA NCHI kwani according to NEC nani huwa anampa ccm nchi?? si wananchi?? ssa wananchi kma waliwapa ukawa kura mamilion kipi kinakufanya usiamini ukawa hawawezi ingia ikulu??Hata hao Tiss wakijitenga na ccm bado sana wapinzani kupewa nchi hii siyo ya majaribio wewe watu gani hawaeleweki wanasimamia nini ili mradi tu kuenenda na matukio
kwahiyo TISS wanaona ni sawa nchi iongozwe na majizi ya richmond,escrow,epa,meremeta,deepgreen eti??? tembo malaki wameuawa ndio TISS wanaona ni bora kuliko ukawa??? duuh nchi maskini mwaka wa 50 huu bado umeme maji makazi kilimo elimu afya ni shida ndio unadai TISS wanawataka hao??Tukubaliane kitu kimoja, upinzani mmeshudwa kuwashawishi TISS, Jeshi, Polisi hata umaa kwa ujumla kama mko tayari kubeba mzigo wa Tanzania, hili sio jambo lililo fichika. TISS ina majukumu mengi, moja kati ya majukumu yao, ni kulinda ustawi wa hii nchi. Leo hii nchi ya amani na utulivu, ichukuliwe na watu wasiojielewa mwisho wa siku hakuna Tanzania wala amani. Jipangeni kwanza ndio muaminiwe.
Sawa mkuu!...Kazi za TISS ni kutengeneza tension za hovyo ktk jamii zinazoibeba CCM?
Kazi za TISS ni kuilinda CCM isiondoke madarakani?
Kazi za TISS ni kuwakandamiza upinzani kwa maelekezo ya CCM?
duuh kwahyo sepetu wa chadema ndio TISS hawamsupport ila alipokuwa anaendesha kampeni za mama samia 2015 TISS walimsupport???? duuuh ndio maana watz wanawadharau ccm mmezidi undumilakuwiliSasa kama huko ukawa kuna watu kama wema ambao ndio candidates wa uwaziri nani anataka nchi iingie shimoni! Mkae mkijua kuwa post za Instagram sio sawa na kuendesha nchi.
Kukaa kwako , kulala kwako, kustarehe kwako, kujikuna kwako, kubarizi kwako, kusoma kwako, kuuza kwako genge, kuingia kwako JF muda wowote , kuangalia kwako taarifa ya habari saa 2 usiku, kwenda kwako msibani, harusini, n.k koooteeeee huko kunafanikishwa na kazi iliyotukuka ya hao mabwana either direct or indirect , either in a visible or invisible manner. Siku ukiwakosa wazalendo kama hawa hakika utalia na kusaga meno.
Mkuu umeandika points zenye uzito wa kipekee.Ungejua unyeti na umuhimu wa hao mabwana wa mstari , hakika usingekuja kubwabwaja maneno mbofu mbofu hapa jamvini namna hiyo.
Kukaa kwako , kulala kwako, kusatehe kwako, kujikuna kwako, kubarizi kwako, kusoma kwako, kuuza kwako genge, kuingia kwako JF muda wowote , kuangalia kwako taarifa ya habari saa 2 usiku, kwenda kwako msibani, harusini, n.k koooteeeee huko kunafanikishwa na kazi iliyotukuka ya hao mabwana either direct or indirect , either in a visible or invisible manner. Siku ukiwakosa wazalendo kama hawa hakika utalia na kusaga meno.
Ila kwasababu Watanzania ni watu wa style ya kinyonga , leo hii tutawaona kama hawafahi ila siku wakiingia hao wengine mnao dhani watakuja kuwaletea maziwa , asali na siagi. ndipo mtajuuuuta kukutwa na bwana pepsi na kubaki kusema " Tungejua......" .
Asiye sikia la mkuu .
Mkuu umemaliza kila kitu kabisa. Hongera sana , kumbe bado JF ina GT wa kutosha.Mkuu umeandika points zenye uzito wa kipekee.
Watanzania wanaona vyombo vya ulinzi na usalama ni kama adui yao ila kumbukeni tuko Salama kwa sababu ya hivyo vyombo vilivyoko active, kuna watu husema wanajeshi wa Tanzania wanakula mishahara ya bure aisee wananchi kuweni makini na midomo jamani, utaona Kenya au nchi nyingine inacheka nawewe kwa sababu una ulinzi siku ukikosa ulinzi hao hao waliocheka nawewe wanakuja kubeba vitu kama wanatoa kwenye nyumba za bibi zao.View attachment 480417
Soma na uielewe hoja vizuriHauko sahihi...
Kuna watanzania hawana uccm wala uchadema na wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya Tanzania...