Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

Unapenda Muundo Gani wa Muungano


  • Total voters
    210
La hasha. Ukitaka hesabu basi kimahesabu ukisema let zero be hakuna Muungano basi 1 ina maanisha kuna Muungano, period. Kabla ya kutuambia tuchague aina ya Muungano, ni lazima tuwe kwanza tumekubaliana tunataka huo Muungano?

Sasa hiyo Awadhi mbona hamshitui Warioba
 
Kama hawataki muungano, waacheni, msituletee balaa hapa. Lakini sisi tunawataka yaani katika serikali tatu.
 
Tatizo la watanzania huwa hawapigi kura, halafu wazuri kweli kulalamika. Hata Nape hajapiga kura mpaka sasa.
 
Lakini mpaka sasa, mawazo ya CCM ya serikali mbili yamekataliwa kabisa, hii ni ajabu kweli.
 
Tunataka serikali moja tu na znz iwe na hadhi ya wilaya moja kwani haina ata hazi ya mkoa wa mwanza au kilimanjaro kuanzia mapato hadi idadi ya watu iwe wilaya tu ambayo itawakilishwa na wabunge wawili(majimbo mawili) iyo ndo inafaa kwa sasa
 
Tunataka serikali moja tu na znz iwe na hadhi ya wilaya moja kwani haina ata hazi ya mkoa wa mwanza au kilimanjaro kuanzia mapato hadi idadi ya watu iwe wilaya tu ambayo itawakilishwa na wabunge wawili(majimbo mawili) iyo ndo inafaa kwa sasa

Wenzako wazanzibari wanakataa kuwa wilaya, sijui utawashawishi vipi? Yaani hiyo ni songombingo.
 
i propose muungano wa serkali tatu;
1. Federal government
2. Tanganyika na
3. Zanzibar
watu wengine msijisikie vibaya wala nini huu ndo ukweli

Lovi una haki kabisa ya kutoa yako ya moyoni. Hata mimi na mawazo kama yako, lakini naamini katika democracy, wengi wape. Tuelimisha wananchi, mimi nawapenda wazanzibari.
 
Mbona nilisikia kina Ritz wanataka serikali mbili, sasa waje hapa watueleze manufaa yake na wapige kura. Au hata wao hawataki tena?
 
Mbona nilisikia kina Ritz wanataka serikali mbili, sasa waje hapa watueleze manufaa yake na wapige kura. Au hata wao hawataki tena?

Wanaogopa kuwa Jumbelised. Zamani ilikuwa hatari kwilikweli. Ritz, Rejao, Zitto, Nape, Mnyika, NK, wanaogopa kutoa koment wala kuvote.
 
Nyie watanganyika, hebu pigeni kura humu, yaani mnawaacha wazenji wetu waondoke hivihivi tu.
 
i propose muungano wa serkali tatu;
1. Federal government
2. Tanganyika na
3. Zanzibar
Well, question is, hiyo Federal Government iwe inashughulikia mambo gani?

Kumbuka kwamba at the center of Muungano crisis is Zanzibar's push for more autonomy, yani yale mambo mbayo sasa hivi yako chini ya Muungano wao wanataka yapunguzwe, mpaka Hazina, hawataki kuwa under TRA, hawataki kuwa Tanzania Port Authority, hawataki kuwa under SUMATRA (kumbuka ilivyokuwa during the ill fated boat at Nungwi) etc. etc. wanataka wawe kivyao katika yote haya, mpaka mambo ya Nje, wanataka waingie EAC kivyao, kuna baadhi wanataka mpaka kiti cha Zanzibar United Nations.

Sasa swali, mambo gani yatakuwa under Federal Government ambayo Zanzibar itakubali? I bet my cow that Zanzibar watapendekeza Federal Government iwe na taasisi tatu: Rais wa Muungano, Jeshi under Wizara ya Ulinzi ya Muungano, na TANESCO! Subiri ripoti ya Tume uone.
 
Sasa nimeamini kuna htari ya kupoteza pesa nyingi na tusipate wananchi wanachotaka. Ngoja tuendelee.
 
Hapa sina jingine zaidi ya kupendekeza kuta za maoni; kuhusu aina ya muungano. Tumevya katiba kuweni makini.
 
Back
Top Bottom