Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

Unapenda Muundo Gani wa Muungano

  • Total voters
    210
Kuhusu suala la tume hili waachiwe wananchi wenyewe. Lakin kwa upande wangu najua waZnz wataendelea uwazi na ukweli wao bila woga. Lakin jirani zao nafikiei wataendeleza nidhamu za uwoga na kusimamia baba wa taifa...

Poleni sana.
 
Mchakamchaka, sawasawa.
 
Nataka srikali 3 kwasababu wazenj na wabara wameshakuwa ndugu wengine wameoana,wanamakazi maeneo mbalimbali, pia serikali ziwe 3 kwasababu wazenj wametuzidi akili wao tayari wana katiba,serikali, wimbo wa taifa,bendera, vikosi= jeshi ,
 
A confederation in modern political terms is a permanent union of political units for common action in relation to other units.[SUP][1][/SUP] Usually created by treatybut often later adopting a common constitution, confederations tend to be established for dealing with critical issues (such as defense, foreign affairs, or a common currency), with the central government being required to provide support for all members.
The nature of the relationship among the states constituting a confederation varies considerably. Likewise, the relationship between the member states, the central government, and the distribution of powers among them is highly variable. Some looser confederations are similar to intergovernmental organizations, while tighter confederations may resemble federations.
In a non-political context, confederation is used to describe a type of organization which consolidates authority from other autonomous (or semi-autonomous) bodies. Examples include sports confederations or confederations of pan-European trades unions.
 
Nani ataandinka katiba ya Tanganyika au ndio tusahau uwezekano huo?

Mimi nafikiri unataka kuleta kitu ambacho si Wadanganyika wenyewe lakin hata baba yao wa taifa St Nyerere alipinga kwa nguvu zote kuanzishwa kwa Serikali ya Tanganyika. Pamoja na Znz kuwaombea nanyi muwe na Serikali yenu ndani ya Muungano kama walivyo wao.

Mdahalo wa kwanza juu ya mfumo na muundo wa Muungano ulianza kwa njia ya maoni juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano mwaka 1983/84. Hapo, kwa mara ya kwanza ilibainika kuwa viongozi wa juu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakiongozwa na Rais Aboud Jumbe, na wale wa Serikali ya Tanzania, wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mwalimu Julius Nyerere, walikuwa na mitazamo tofauti inayokinzana juu ya Muungano.

Jumbe na timu yake walitaka Muungano uwe na Serikali tatu kwa maana ya Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar (iliyopo sasa) na Serikali ya Muungano yenye kushughulikia mambo ya Muungano tu, ambayo yameainishwa katika Ibara ya 6(a) ya Katiba ya Muungano (Articles of Union) na kifungu cha 8 cha Sheria ya Muungano (Acts of Union) Namba 22 ya 1964, na hatimaye ibara ya 4 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.

Jumbe alikwenda mbali zaidi kwa kuandaa Hati ya Maombi ya kuhoji na kutaka ufafanuzi kwenye Mahakama Maalum ya Kikatiba juu ya muundo sahihi wa Muungano kwa kutumia ibara ya 125 ya Katiba.

Tofauti hizi kati yake na Mwalimu hazikwisha salama kwa Jumbe kuthubutu kukanyaga mahali "patakatifu" bila kuvua viatu. Jumbe alilazimishwa kuachia ngazi zote za uongozi wa nchi kuanzia Urais wa Zanzibar, Umakamu wa Rais wa Muungano, na nafasi zote za kichama Januari, 1984.

Utata huu uliibuka tena kwa nguvu mpya zaidi wakati Wabunge 55 (maarufu kama G55) wa Bunge la Muungano, walipowasilisha bungeni mwaka 1993, hoja ya kutaka kuundwa/kurejeshwa kwa Serikali ya Tanganyika kwa kukasirishwa na hatua ya Zanzibar kujiunga na OIC kama nchi huru nje ya Muungano, Desemba 1, 1992.

Ukweli, Bunge lilikuwa limekwisha kupitisha kwa kauli moja, Azimio la kuanzishwa kwa Serikali ya Tanganyika Agosti 24, 1993 kwa maana ya kuwa na Serikali ya Muungano inayoundwa na Serikali hai zenye Mamlaka huru, za Tanganyika na Zanzibar, kama vile tu alivyotaka Rais Jumbe mwaka 1983.

Hata hivyo, Azimio hilo lilipigwa rungu zito na Mwalimu Nyerere na likavunjika.. Na kama ilivyokuwa kwa Jumbe, hapa napo mambo hayakuisha salama; safari hii Waziri Mkuu wa wakati ule, John Malecela (hongera kwa kutimiza miaka 75) na Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba, walipoteza nyadhifa zao kwa sababu ya ama kunyamazia au kuunga mkono hoja / Azimio la G 55.

Sijui waDanganyika muweke bayana kulikuwa na Siri gani mpaka Nyerere akatae kuanzishwa kwa Serikali yenu?

Unajua kuna watu walisoma na Julius, walinichkesha sana. Lakini nashangaa baadhi ya watu wanapomuona ni omnipotent, omniscient and omnipresent. Looooo alaaniwe binadamu amfanya mungu mwanadamu mwingine. Julius alikuwa binadamu wa kawaida na alikuwa na makosa yake. moja wapo ni hili (Unakumbuka lile jina alilokataa, Haambiliki). Ndio maana akina Malecela waliipata frsh, hawakujua hilo jina, walilia kweli. nao walikuwa waoga sana, maana wakati ule ukibisha zaidi detention na viboko juu (Sijui Mapalala bado yupo). Duhhh tumtoka mbali, Lakini sasa tunataka Tanganyika yetu. Muungano wenyewe haukui kwa jinsi ulivyo mbovu. Kumbuka aim ya kwanza ilikuwa nchi mbili tatu ... Hamna kitu bana, twende kwenye shirikisho. Katiba ya Tanganyika ataiandika nani?
 
tiss walinzi wangu mimi na wewe, sana usiwe na wasiwasi. Yaani we vote bila wasiwasi. Usiwasingizie. Ila mod angestick hii, naona kama ni suala la maana, ili tuelewe anagalau humu jf watu wanasemaje. Mimi napenda serikali tatu

kila mtu n kwake tutaonana eac huko kwani lazima tuungane tuachiwe tupumueeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom