Kwa hiyo unanitishia ba'mkwe au unataka kumuozesha bintiyo
Passion Lady kwa nani? Kumbuka matumizi yote anapata kwangu tangu
Ruttashobolwa amkimbie yapata miezi minne iliyopita. Angalia isijekuwa mkeo
measkron ndiye yule Banana Zorro aliyemuimba kuwa hataki kumuozesha biniye