Afu katiba mpya iainishe adhabu kwa wale wanaopenda kufanananisha fananisha watu. (Copy:
eliah G. kamwela ,
Chachu Ombara ,
Madame B)
Pia u mod uwe kwa vipindi maalumu na uwe unagombewa na kupigiwa kura (Tupate kanafasi na sisi ka kulipiza ban)
Katiba mpya itenge siku mbili hapa chit chat kwa ajili ya kuwekana sawa, yaani mtu akikuudhi unamsubiri siku ya siku ndo unamchana hadi unalia mwenyewe,
Pia kwenye katiba mpya picha zote ziwe coloured