wewe acha unafiki kwani umeingia lini jamvini hivi hujui kuna mambo mengi yanatakiwa kubadilika? Hujui kama kuna haki ya mgombea binafis imefinywa, je hujui uchakachuaji wa tume ya uchaguzi, je hujui kama watawala wako juu ya sheria?, je hujui kama principal of separation of pewers haipo tanzania? Mbunge anakuwa waziri, nini kazi ya mkuu wa wilaya wakati mkurugenzi yupo?, kwanini pccb, cag wawajibike kwa rais?, je hujui rais anao uwezo wa kuteua hata baraza la watu 200?, je hujui yote hayo??? Acha uzandiki soma ripoti ya nyalali utaelewa una point kuwae,emisha watanzania wengine lakini sio wewe ambae upo jamvini au umetumwa kama ni hivyo basi wewe sio great thinker, tafuta soft copy ipo humu jamvini ya katiba usome utaelewa.