Katiba mpya Tanzania na elimu yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya Tanzania na elimu yetu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by queenrose, Jun 27, 2012.

 1. q

  queenrose New Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeisoma sana katiba ya Tanzania ya mwaka 77,ina mambo mengi sana lakini katika suala la elimu ambayo kwa sasa ni maisha yetu sijafanikiwa kuona chochote,je wewe mwana JF ungependa katiba mpya izungumzie nini juu ya elimu yetu katika ngazi zote awali mpaka Dokta?
   
Loading...