Katiba mpya na mustakabali wa maendeleo nchini

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,952
Harakati za kutaka mfumo wa katiba ubadilishwe na kufanyiwa marekebisho kadhaa hatimae Tanzania ipate kitu kinachoitwa Katiba mpya, harakati hizo zilianza toka uongozi wa awamu ya nne na harakati hizo zilichukua sura mpya hatimae yakapatikana maoni ya wanachi oja ya maoni hayo ni nguvu ya wanachi katika maamuzi ya uongozi wa nchi kuhusu mabadiliko hayo na hatimae ikapatikana Katiba pendekezwa,katiba pendekezwa iliopatikana chini ya tume ya mwenyekiti wa tume ya marekebisho ya katiba mpya ya jaji Warioba,Katiba maarufu kama katiba ya jaji Warioba, ambayo ilikua inatoa dira ya mwelekeo wa nchi kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni ni juzi tu wasomi wengi wameanza kuijadili ili ipatikane Katiba mpya nini maoni yenu wadau
 
Kupinga hitaji la wananchi la katiba mpya ni sawa na kujaribu kuizuia bahari iliyokupwa kujaa tena, Ni suala la muda tu!
 
Harakati za kutaka mfumo wa katiba ubadilishwe na kufanyiwa marekebisho kadhaa hatimae Tanzania ipate kitu kinachoitwa Katiba mpya, harakati hizo zilianza toka uongozi wa awamu ya nne na harakati hizo zilichukua sura mpya hatimae yakapatikana maoni ya wanachi oja ya maoni hayo ni nguvu ya wanachi katika maamuzi ya uongozi wa nchi kuhusu mabadiliko hayo na hatimae ikapatikana Katiba pendekezwa,katiba pendekezwa iliopatikana chini ya tume ya mwenyekiti wa tume ya marekebisho ya katiba mpya ya jaji Warioba,Katiba maarufu kama katiba ya jaji Warioba, ambayo ilikua inatoa dira ya mwelekeo wa nchi kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni ni juzi tu wasomi wengi wameanza kuijadili ili ipatikane Katiba mpya nini maoni yenu wadau
Katiba mpya siyo kipaumbele chetu watanzania kwa sasa. Hata tukiwa na katiba mpya na usimamizi wa rasilimali za nchi ukiwa kama awamu ya serikali iliyopita ni sawa na bure tutakuwa tunajaza maji kwenye kikapu milele sababu hata wanaoitaka hiyo katiba ni madalali wa rasilimali za nchi.
 
Back
Top Bottom