Jumuiya ta Afrika Mashariki ina lengo lake kubwa la kuimalisha uhusiano wa nchi wanachama katika siasa, uchumu , utamaduni , Utafiti , tekinolojia pamoja na mabo ya usalama. Hatima ya uhusiano wa nchi hizi wanachama ni kuwa na political federation. Sasa kama ni hivyo,je kuna umuhimu kwa sisi kuhakikisha kuwa katiba yetu mpya tunayotarajia kuiandika inashabihiana na katiba za wanachama wenzetu ili huko mbele tusiwe na kazi kubwa ya kuziainisha kwa gharama ambayo inaweza kuepukika?Nawasilisha.