Katiba mpya, lazima mahakama ya kisilamu iwepo Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya, lazima mahakama ya kisilamu iwepo Tanzania

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by kwamtoro, Jan 28, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  436x328_38193_85339.jpg 2009-in-pictures-35.jpg page42_blog_entry268_summary_1.jpg
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  U mean 'SHARIA' to take place...
   
 3. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280

  Sharia, watu awaswali, wanachua wake za watu, wanaruka ukuta, awafanyi kazi, wanarubuniwa na wanasiasa kusema uongo. Dawa yao katiba mpya
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Lo! ha ha haaaa, ni wengi watakaochinjwa ha ha haa..
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bt waswahili husema ...samaki mkunje angali mbichi,
  KWA HAWA VIUMBE WA RIKA LETU KUWAKANDAMIZA NA MIJEREDI...don't u think kuwa watakimbilia haki za binaadamu na ama wengine 'kuritadi' ??
  Dini ni ngumu saaaana atiiiiii.
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Haahaahaahaaaaaaaaaa, nimefurahishwa na mada hii hasa hizi photo. Kumbe kutekeleza sharia ni dhambi?, yes ni dhambi ndo maana mtekelezaji huficha sura.............
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mtu anajitahidi kuzuia dhambi kwa kutenda dhambi, kaaazi kweli kweli!
   
Loading...