Katiba Mpya: Clouds FM Wachochezi!

mind clouds radio ni entertaiment radio station,kwa hiyo hizo porojo ni moja ya entertainments!!!!!!!!!!
 
Km rais asingekuwa na nguvu ya kuteua wakuu wa wilaya,mkoa,wabunge na wengineo..unafiki huo ungekufa kifo cha asili..
Siku hizi radio nyingi zimekaa kuishabikia govt as if its made up of Angels...
 
Acha waropoke tu lakini watanganyika na wazenj washakua kifikra, and Tanganyika will be back soon
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
 
Wale si ndio huwa wanafanya bday party ya mkuu wa kaya
 
Kwa chadema kuwa na fikra pevu ni kupingana na hoja tofauti na ccm
 
Hakuna cha ajabu hapo. PJ ni kama wa ccm, alijitosa ubunge kura za maoni jimbo la Kawe, kura hazikutosha kwani alitanguliwa na Kina Kipi Warioba, Angela Kiziga, Adamjee na wengine. Pengine kwa kupotosha umma kupitia redio yao hiyo, anadhani 2015 kura za maoni zitamtosha.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Redio ya udaku inasikilizwa na wadaku
 

Kumbe kuna motives behind!!!!
 

that story based on uchochez,ila je mamlaka husikza zitakemea???maana inafanana na ile ya gazet la mtanzania au t daima
 

siasa za kujipendekeza
 
Hivi kumbe bado kuna watu wanasikiliza hako ka redio!
 
Hakuna cha ajabu hapa alicho fanya huyo mtangazaji PJ na Clauds yake. Kwakuwa nchi hii kila mtu hufanya akipendacho yeye sio vile sheria ipendavyo ndio maana nchi imekuwa kama danguro. Watu hawafanyi kazi kwa sheria zillizo waweka kazini ndio maana Msimbazi rood inapangiwa nyanya na vitunguu.Bidhaa za Madukani zinapangwa nje sehemu za waenda kwa miguu. Ukienda sehemu yeyote ya kazi huwezi kupata huduma stahiki kwa kuwa watu wako kama Pj nenda Tra kila siku Utaambiwa Mtandao hauko sawa wanasubiri mafundi wa IT kwa kuwa lina PJ wamejaa. Hunapakwenda usikumbane na MaPJ Huo ndio utamani wetu siajabu kumkuta dereva au Conda wa daladala anakojolea Tairi la gari yake kituoni MaPJ wamejaa nchi hii jamani
 

clouds fm imebaki ni redio ya starehe na kudai haki kama ile makeroonliberilian,,,usiangaike tena kuchukulia kweli habari zao
 

ha ha ha ha,eti MaPJ
 
Jifunzeni kusikia hoja mbadala wa zile mnazopenda kusikia. Sio kila mtu aliye na mawazo tofauti na yale mnayoyapenda, hana akili.
 
jifunzeni kusikia hoja mbadala wa zile mnazopenda kusikia. Sio kila mtu aliye na mawazo tofauti na yale mnayoyapenda, hana akili.

ingekuwa busara kama angesema hayo ni mawazo yake...
 
Usipende kuskiliza radio ya kipuuzi kama hyo hawana jipya tena..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Watangazaji wa Clouds isia mbele kuliko maadili ya uandishi!kama jambo halipendi mtangazaji basi....anaweka chuki zake

Maadili ya uandishi watayajua wapi. wakat wahandishi waliosoma pale wapo wawili tuu

Tuwasamehe tu ipo siku wataelewa tuu...
 
Kwa habari sensitive clouds si ya kuwaamini labda habari za kina hay bay bay au za kina yoyoyoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…