Katiba imevunjwa??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba imevunjwa???

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Topical, Sep 25, 2011.

 1. T

  Topical JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa MoU kati ya wakristo na serikali "serikali imevunja katiba ibara 19 inayosema .."serikali haina dini......na shughuli za kuendesha taasisi za dini zitakuwa nje ya serikali...."

  Je..fedha hizo za umma zilizotolewa zimeshafanyiwa auditing na auditor wa serikali au kamati ya bunge???

  Je.. kuipa taasisi za dini fedha si kusaidia kuendesha shughuli za dini?

  Je ni lini MoU hii itavunjwa na waliohusika kuulizwa na tume huru?

  Je naweza kupeleka shauri hili mahakamani ili lipate tafsiri sahihi ya ibara hiyo?
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Je inawezekana kutaifisha na kuirudishia umma fedha ikiwa hazijatumika kwa ajili ya umma
   
 3. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Topical, mbona umeanzisha mada nyingine kabla hatujamaliza ile ya BAKWATA, Hijabu na Igunga?
  Uliwataka Chadema waombe radhi kwa kudhalilsha dini, je unasimamia hapo bado!
  Ulisema hijabu ni alama ya dini, tukakuuliza zipi nyingine !!hujatujibu.

  Je umefanya kautafiti kuhusu wasifu wa mama kimaro? Tukakuliza nini tofauti ya Niqab, Khirma,Hijabu na Burqa. Hujajibu

  Kabla hatujajibu maswali yako , tutendee haki kwa kujibu yetu kwanza si kuanzisha thread tu na kuacha vitu vikining'inia.

  Ahsante
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu unataka kuniharibia thread yangu,

  kwa ufupi msimamo wangu uko pale pale wanatakiwa kuomba kwa udhalilisha alama za dini..hususan wanachama wake

  Haijalishi aina hijabu..tunachoangalia ni kwamba hawa wahuni wamemkuta mama amejisitiri kiislamu wakamvua vazi hilo kwa nia ovu..la kuchukia alama za dini ile period..

  Naomba ifanyie haki thread yangu kwa kuchangia kuliko kuchanga mada
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mawazo yako hayapishani na ya wale Masheikh wanaosumbuliwa njaa huku wakisingizia wana misimamo ya kidini.
   
 6. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Memo ilisema kuna hela zinatolewa?
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo ni halali kwa serikali kuendesha taasisi za kidini as long as ni taasisi za kikristo?

  Je huu si upendeleo na matumizi mabaya ya fedha za umma?

  Je huu si ufisadi ambao haufanyiwi auditing na kamati za bunge wala govement auditor?
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Do you mean MoU? if yes hela zinatolewa kuendesha taasisi za kanisa
   
 9. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kuna hati miliki ya kujistiri? Kwamba wasio waislam dunia nzima hawawezi kujistiri kama alivyojisitiri huyo mama? Au kila kitu kinachokupendeza machoni ndio kinakuwa kinautwa "cha Waislam tu"?
  Umewaona wanawake wa kanisa la kakobe? wanavaa "alama ya kiislam"????
  Una mkumbuka Mama Theresa? alikuwa anavaa kile kilemba kama alama ya uislam???

  Mimi nitakubalina nawe kuwa uislam umedhalilishwa iwapo tu yule mama ni muislam. Kama sio muislam, basi mtetee tu labda kwa mgongo wa "gender activism and feminism" lakini sio kwa kupitia mlango wa uislam, uislam hauhusiki hapo.


  Tukirudi kwenye mada yako,
  wewe kama haufurahishwi na MoU, nafikiri upo huru kuwasiliana na wanasheria (ndio ambavyo mwenzako Mtikila hufanya), Changisha changisha, waambie wanasheria wapitie suala la katiba na MoU, watakupa ushauri mwafaka.
  Kwa upande mwingine, nakushauri kuwa wapo wengi wa "aina yako" ambao MoU inawauma, lakini kwa usomi wao na BUSARA zao wanaona ni bora MoU hiyo iendelee. Na hata suala la ukiukwaji wa katiba, wameishaliangalia na wamejua ukweli, na wameishia kuwa WAPOLE. Na wewe pia, unaweza ukatumia busara, ukawa MPOLE tu.
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  MoU inatakiwa iwaume waTanzania wote na hasa wasomi ambao wanapigania haki na usawa na matumizi sahihi ya mali za umma...

  Kuwa mpole huku katib inavunjwa kwa pesa za umma kutumika kuhudumia taasisi za dini ni aina uzembe au kunyamazia ufisadi..

  Hata hivyo ushauri wako wa kuchangisha ili kuwaona wanasheria unazingatiwa...
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Tipical je ni halali serikali isiyo na dini kutoa majengo yake ili dini fulani iwe na chuo kikuu?
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si halali hata kidogo..ninachokiona walitoa majengo worth certaini millions kama kufuta machozi kwakuwa wanajua kuwa wanatoa through MoU Billion kila mwaka continously unaudited ambazo zinaweza kujenga zaidi vyuo vikuu 10 kwa mwaka...

  Hivi ni halali kuwapa Majengo ya Mazengo Secondary (ya serikali) kwa chuo cha st.John ya wakristo kule dodoma..nilimaliza shule kule enzi hozo inataitwa mazengo complex???
   
 13. e

  emock Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @ topical: kwa nini unaonekana unapenda sana hoja za udini?, alafu lazima uelewe kuwa serikali zinaongonzwa kwa mifumo, unaweza ukawa mfumo wa dini fulan, mfano- Iraq, Iran, Misri ... zinaongozwa kwa mifumo ya dini, Rome, Poland ... pia zipo kwenye mfumo wa dini nyingine na nchi zote hizi sheria zake niza kidini. sasa nini huelewi? sisi tanzania sheria zetu hazipo kwenye mfumo wa dini yoyote, si za kiislam wala kikristu, ndio sababu hiyo ya kusema nchi yetu haina dini, kwa maana ya kwamba hatuna sheria za dini yoyote katika kuongonza nchi. na hiyo ndio tafsiri ya katiba.

  ACHA HOJA ZAKO ZA UDINI, SISI WAISLAM WAO WAKRISTU, HAYANA MAANA KATIKA KALNE HII. NYERERE alisema:- "sisi sote ni watanzania, hakuna sisi wazanzibari wao wazanzibara, ... na dhambi ya ubaguzi itakutafuna tuu..." acha ubaguzi wa kidini,sio issue
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  [h=2]ABOUT MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO[/h][h=1]Establishment[/h]The Muslim University of Morogoro was founded by the Muslim Development Foundation (MDF) on 23 rd October, 2004 by a Charter proclaimed by MDF, proprietors of the University.
  [h=1]Location[/h]The University is located to the north of the magnificent Uluguru Mountains, some 4 km from the centre of Morogoro Municipality, about 100m off the Morogoro-Dodoma highway and just about 10-minutes walk from the main bus terminal. The campus occupies 21 hectares,
  [h=1]Objects[/h]The objects of the Muslim University of Morogoro (MUM) are to advance education through a variety of patterns, levels and modes of study and by a diversity of means by encouraging and developing learning and creativity, for the benefit of the community specifically the Muslim community in the United Republic of Tanzania and beyond; to preserve, advance and disseminate knowledge and culture through teaching, scholarship and research, and to make available the results of such research; and to promote wisdom and understanding by example and, to develop the character of its students and staff by virtue of its corporate life guided by Islamic moral values.
  [h=1]Vision[/h]Muslim University of Morogoro to be a higher education centre of excellence with cutting edge programmes, responsive to the needs of the individual and the nation in a globalised world under the guidance of Islamic moral values.
  [h=1]Mission[/h]To contribute to the national effort to produce highly educated and well trained human resources inculcated with the appropriate aptitudes and attitudes for the material, moral and spiritual development of the society by upholding the highest standards of teaching, learning, research, outreach and consultancy in the provision of holistic and well integrated education and training.
  [h=1]Core values[/h]The core values of the University are embodied in its daily functions. The most fundamental values are:
  [h=3]Knowledge Seeking[/h]As prescribed in Islam, acquisition and advancement of frontiers of knowledge are an obligation of all men and women. Indeed, the first direct revelation to the Holy Prophet Muhammad (SAW) was "Proclaim ( or Read ) in the name of Thy Lord and Cherisher, who created man out of a leach-like clot, Proclaim! And Thy Lord is most Bountiful , He who taught the use of the pen, taught man that which he knew not" (Qur'an-96: 1-5). The revelation bears witness to this noble obligation.
  [h=3]Integrity and Prudence[/h]Seek nobility in both words and deed and act in an honest, ethical, prudent and professional manner in all endeavours.
  [h=3]Excellence[/h]Muslim University of Morogoro is committed to sterling performance and continuous improvement in carrying out its activities.
  [h=3]Community Built on Respect and Tolerance[/h]Respect for students, faculty, alumni and the general public as the source of strength will be upheld.
  [h=3]Collegiality and Collaboration[/h]Collegial governance and collaborative, interdisciplinary efforts in teaching, scholarship, and service, and student life will be adopted as essential aspects to the successful functioning of the University.
  [h=3]Responsibility and Accountability[/h]Adoption of responsibility and accountability in all levels of undertaking - financial and non-financial. MUM shall endeavour to disclose fully all pertinent information to clients and stakeholders in a transparent manner.
  [h=3]Academic freedom, Creativity and Innovation[/h]Muslim University of Morogoro will support innovation, creativity and freedom of expression as a cradle of academic excellence and intellectual advancement. It will actively promote sharing of ideas and information across the community and will be receptive to new progressive ideas from different quarters.
  [h=3]Spiritual and Academic Balance[/h]Muslim University of Morogoro shall facilitate students, staff and community at large to strive for a proportionate balance between spiritual development, personal fulfilment, rational thinking and academic/intellectual growth.
  [h=3]Trust and Teamwork[/h]Commitment to trust and team work amongst all stakeholders including students, faculty members and all strategic partners with similar/complimenting mission.
  [h=3]Community Service[/h]Provision of community service around the University and elsewhere in Tanzania aimed at raising living standards of the society
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nasiktika kwamba majibu yako siyo ya hoja yangu..mimi sina shida na wakristo wala waislamu..

  Mimi shida yangu ni serikali kupendelea taasisi za dini nyingine hususan za kikristo kwa njia ya MoU je huoni kwmaba wanavunja katiba?

  Je huoni kwamba pesa zinazotolewa zinatakiwa kufanyiwa auditing kwasababu ni za serikali yaani umma? kamati za bunge lazima zichunguze zimetumikaje???

  Au unaogopa kwakuwa wewe ni mdini (ukristo) tukiongela upendeleo wa dini yako?? acha udini wewe jibu hoja zangu..
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I think this is tottaly irrelevant to my topic..
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Taasisi ya umma (TANESCO) ilipopokwa majengo yake na kupewa Waislamu kuanzisha chuo kikuu katiba haikuvunjwa?
   
 19. M

  MBORROW Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jitaid kupata ufunbuz wa jambo mja ndo tujadili lingine
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Taasisi ya umma (MAZENGO SEC. DODOMA) ilipopokwa majengo yake na kupewa wakristo kuanzisha chuo kikuu katiba ilivunjwa?

  Na kutoa hela za serikali za umma kuendesha shughuli za kanisa katiba inaendelea kuvunjwa kila mwaka?

  Hizi hela zinapokuwa hazifanyiwi auditing na kamati ya bunge katiba inaendelea kuvunjwa?
   
Loading...