Katiba ihusishe dini!!!!

Katiba itakayo andikwa inaandikwa kulinda maslahi ya watanzania. Je vyama vya kidini au kikabila ni kwa maslahi ya watanzania? Sehemu ya katiba kuhusiana na dini ni kumhakikishia mtanzania uhuru wa kuabudu au hata kutoabudu ili mradi havurugi au kuingilia uhuru wengine na ustawi taifa. Sasa kama katiba itaweka article ya kuwa Tanzania ni secular state basi vyama vyenye sera za kidini vitakua vinakwenda kinyume na article hii. Ila kama itaweka dini rasmi ya au za taifa hili basi wazo lako la vyama vya kidini linaweza kuwa sawia. Kwa kuangalia demographic composition ya Taifa letu, endepo kutakuwa na article inayosema kila raia wa taifa hili ni sawa, basi kutakua na dini rasmi zipatazo 1500 au zaidi, kwani Tanzania si waislam na wakristo tu, bali nchi hii ina dini za asilia zinazozidi 1800, nyingine ni za kimakabila na nyingine ni za koo tu na nyingine za raia wenye asili ya mataifa mengine Hindu, Bahia, Sikhs n.k ! Kwa maslahi ya watanzania ninadhani Tanzania ibakie kama ilivyo sasa secular state ila iwahakikishie watanzania uhuru wao binafsi wa kuabudu au kutoabudu kulingana na ustawi wao na taifa.
 
Wapi Tanzania ni secular state? Pia ni vipi basi sheria zake haziko secular? What define a secular state?

Kuhusu swali lako la kwanza, ibara ya 3 ya Katiba ya Jamhuri inatamka:

Article 3. Declaration of multiparty state
(1) The United Republic is a democratic, secular and socialist state which adheres to multi-party democracy.

Hayo maswali yako mengine kamuulize Sheikh Yahya au iddi Simba.
 
Hivi wewe ulifaulu shule kweli unajua maana ya kudefine? Define neno secular ndugu.
 
Tanzania wanaishi watu wenye dini mbalimbali na zaidi Waislamu na Wakristo! kumekuwa na malalamiko mengi ya chini kwa chini kuwa Dini haipewi nafasi ktk maamuzi mengi muhimu ya nchi yetu!
Pia kuna malalamiko ya baadhi ya dini fulani kubaguliwa ndani ya nchi yao! na zaidi wimbo wa Serikali kuwa Dola haina dini ila watu ndio wenye dini!

Wakati umefika kuandika katiba yetu mpya kwa kutambua rasmi dini zetu na kuacha kurudiarudia kauli ya kuchanganya dini na siasa! kauli hii imepitwa na wakati! Dini na viongozi wa dini wapewe nafasi stahiki ktk katiba yetu na iwe ruksa kuanzisha chama chenye mrengo wa dini! hata huko Ulaya mbona kuna vyama vyenye mrengo wa dini ya Kikristo? na vingine viko madarakani? kwanini hapa kwetu iwe haramu?

Kuhusu dini: Katiba inatoa uhuru kamili wa kila mtu kuamini na kuabudu katika dini au dhehebu la dini analolitaka. Kusema nchi haina dini (secular state) ni dhana nzuri katika nchi zinazotoa uhuru wa kuabudu kwa kila mtu. Ina maana hatuna 'national religion' kama ilivyo Uingereza (Anglicanism) au Northern Ireland (Catholicism) au nchi nyinginezo ambazo dini yake rasmi (national religion) ni Uislamu. Yaani Tanzania hatuna dini ya serikali au nchi ni wananchi tu wana dini zao. Hii inatoa uhuru sawa wa kuabudu kwa dini zote.
 
Umeifafanua vizuri Magobe kuwa there is no national religion for Tanzania. Sasa tufafanulie sheria za Tanzania zinafata misingi ipi? Tukianzia na Jumapili na Jumamosi.
 
Umeifafanua vizuri Magobe kuwa there is no national religion for Tanzania. Sasa tufafanulie sheria za Tanzania zinafata misingi ipi? Tukianzia na Jumapili na Jumamosi.

Ukiangalia utaratibu wa kuwa na siku za kupumzika duniani kote ni kitu cha kukubaliana. Sidhani kama ni Tanzania ndiyo iliyobuni hizo siku achilia mbali majina yake - Sunday (Jumapili) na (Saturday) Jumamosi. Mwezi wa 12 mwaka jana nilikuwa Algeria na Misri. Nchi zote mbili ni 'secular states' lakini zina idadi kubwa ya Waislamu. Na wao kwenye kalenda zao wana 'Sunday' na 'Saturday'.

Hivyo, siku za kupumzika zote ni 'conventional'. In fact, kwa siku yoyote utakayoifanya iwe ya mapumziko si lazima iwe imekubaliwa na wote. Mfano, kwa hapa Tanzania - public holiday ya Wahindu ni ipi? Ya wanaoabudu katika dini za jadi ni ipi? Na pia katika hizo dini za jadi kuna mila zinazohusu koo na makabila na siku zao za public holiday ni zipi? Public holiday ya wale wasioamini Mungu yupo ni ipi? Na haiwezekani watu wote duniani kila mmoja wao awe na siku anayoipenda ili iwe siku ya mapumziko. Tukifanya hivyo, dunia haitaenda. Watu hawataweza kufanya kazi na wala hakutakuwa na makubaliano yoyote na katika lolote kwa vile kila mtu atataka kile anachokitaka yeye tu ndiyo kifanye kazi.

Vitu vingi ambavyo tunavifuata hapa nchini vinafuatwa na nchi nyingi duniani na kwa kufanya hivyo kunarahisisha mawasiliano na utekelezaji wa mambo. Mfano, kuwa na mfumo wa kuhesabu unaofananaa, mgawanyo wa muda unaofanana (mfano: siku, masaa 12, majuma, miezi (pamoja na majina yake), mwaka nk. Hata 'Holy See' ambayo Waislamu wa Tanzania hawataki kuitambua inatambuliwa katika 'international law' na si 'creation' ya taifa la Tanzania.

Kwa mawazo uliyo nayo, ina maana vitu hivi vyote viangaliwe upya na ikiwezekana viandikwe kwa namna tofauti na ilivyo sasa. Mfano, mwaka uwe na miezi 2 au 3 tu na wiki moja iwe na siku 20 au 30, dakika moja iwe na sekunde 300... Tukifanya hivi, tutaishi kwa namna ya ajabu sana!
 
Tunapotea njia. DINI ni kikundi cha hiari hawezi kulazimishwa mtu, ndio maana kila dini imesajiliwa. Ya nini kuwa na dini katika katiba. Basi na NGO's zitaingizwa kwenye katiba. Du!
 
Tanzania wanaishi watu wenye dini mbalimbali na zaidi Waislamu na Wakristo! kumekuwa na malalamiko mengi ya chini kwa chini kuwa Dini haipewi nafasi ktk maamuzi mengi muhimu ya nchi yetu!
Pia kuna malalamiko ya baadhi ya dini fulani kubaguliwa ndani ya nchi yao! na zaidi wimbo wa Serikali kuwa Dola haina dini ila watu ndio wenye dini!

Wakati umefika kuandika katiba yetu mpya kwa kutambua rasmi dini zetu na kuacha kurudiarudia kauli ya kuchanganya dini na siasa! kauli hii imepitwa na wakati! Dini na viongozi wa dini wapewe nafasi stahiki ktk katiba yetu na iwe ruksa kuanzisha chama chenye mrengo wa dini! hata huko Ulaya mbona kuna vyama vyenye mrengo wa dini ya Kikristo? na vingine viko madarakani? kwanini hapa kwetu iwe haramu?

Kama hii nchi itagawanywa kwenye majimbo ambayo yatakuwa huru kujiamulia mabo yake ikiwemo kuwa na bunge,mahakama na labda gavana mwenye mamlaka nitakubaliana na wewe. Lakini kama mfumo wa utawala utakuwa huu ulipo sasa kuingiza dini kwenye katiba ni mwanzo wa matatizo.
 
Wazo lako zuri sana na linaheshimika, ila kumbuka sio watanzania wote ni waislamu na wakristo... wapo wapagani na dini nyingine nyingi tu.... sasa na wenyewe itabidi watambuliwe na serikali na kuruhusiwa kuanzisha vyama vyao... Sijui kama hiyo itakuwa nchi zaidi ya kichaka!!!:twitch:[/QUOT

Kama katiba itaandikwa upya na kuruhusu vyama vingi na hata mgombea binafsi! na kuruhusu pia vyama vyenye kuabudu mungu mmoja, mungu 3 na hata wenye kuabudu mashetani na mizimu! basi hii ndio maana ya demokrasia! lakini kuwabana na kuwachagulia wananchi mrengo na siasa ipi chama kifuate, hiyo sio demokrasia! wewe unaogopa nini? si turuhusu kila mtu anaetaka kuanzisha chama aanzishe halafu uamuzi waachiwe wananchi ktk sanduku la kura!

Atakae shinda huyo ndie atuongoze hata kama chama chake kinaamini Shetani! kama chama cha Kikristo kikipata kura nyingi zaidi ya 50% basi kiunde serikali! kama hakuna chama kitakachopata zaidi ya 50% basi kiungane na chama chochote ili kuunda Serikali! sasa unachoogopa hapa ni nini?
Ni ni maana ya Demokrasia ya vyama vingi? kwanini tuwe na mipaka ya vyama? tuache uoga!!!!

Wakishinda wakristo; hamtakubali kutawaliwa na madai yenu yatakuwa hawa ni makafiri.
 
Kama TZ ni Secular State mbona Rais na Wabunge hula kiapo kwa kutumia vitabu vya dni? na kwanini Spika wa Bunge husoma dua kabla ya kuanza kikao chao bungeni? mbona siku ya Jumapili hakuna kazi ili watu waende kanisani sio? hii ndio tafsiri yako Mchungaji ya Secular state?
Hivi kuna mtu anaweza kutufafanulia nini maana ya Secular State? ni nchi zipi muhimu hufuata siasa hii?

Nakusaidia maana ya secular state....na usidanganyike kuwa Wakristo na Waislamu ni wengi....la khasha wengi ni majina na unafiki mtupu

Secular state is a concept of secularism, whereby a state or country purports to be officially neutral in matters of religion, supporting neither religion nor irreligion.[A secular state also claims to treat all its citizens equally regardless of religion, and claims to avoid preferential treatment for a citizen from a particular religion/nonreligion over other religions/nonreligion. Secular states do not have a state religion or equivalent, although the absence of a state religion does not guarantee that a state is secular.

Secular states become secular either upon establishment of the state or upon secularization of the state (e.g. France). Movements for laïcité in France and for the separation of church and state in the United States defined modern concepts of secularism. Historically, the process of secularising states typically involves granting religious freedom, disestablishing state religions, stopping public funds to be used for a religion, freeing the legal system from religious control, freeing up the education system, tolerating citizens who change religion or abstain from religion, and allowing political leadership to come to power regardless of religious beliefs.

Not all legally secular states are completely secular in practice. In France for example, many Christian holy days are official holidays for the public administration, and teachers in Catholic schools are salaried by the state. In India, the government gives subsidy in airfare for Muslims going on Haj pilgrimage(See Haj subsidy). In 2007, the government had to spend Rs. 47,454 per passenger.

Many states that nowadays are secular in practice may have legal vestiges of an earlier established religion. Secularism also has various guises which may coincide with some degree of official religiosity. Thus, in the Commonwealth Realms, the head of state is required to take the Coronation Oath swearing to uphold the Protestant faith. The United Kingdom also maintains positions in its upper house for 26 senior clergymen of the established Church of England known as the Lords Spiritual (spiritual peers).While Scotland is part of the United Kingdom the Scottish Parliament declared Scotland a secular state but maintains the religious monarch.The reverse progression can also occur, a state can go from being secular to a religious state as in the case of Iran where the secularized state of the Pahlavi dynasts was replaced by the Islamic Republic . Over the last 250 years, there has been a trend towards secularism.
 
Tunapotea njia. DINI ni kikundi cha hiari hawezi kulazimishwa mtu, ndio maana kila dini imesajiliwa. Ya nini kuwa na dini katika katiba. Basi na NGO's zitaingizwa kwenye katiba. Du!

Imani ya mtu yaweza kubadilika; Muislamu anaweza kubadilika na kuwa mkristo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom