Haki Madhubuti
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 201
- 182
Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT.
Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua huyu ndugu kaisoma katiba Ila mapenzi ya dini anataka furaha katika jambo hili.
Her silence means a lot. Labda hataki malumbano na uongozi wa Zanzibar.
Tusilee uoga, unafiki na itikadi kali. Lazima viongozi wawe majasiri, wakweli bila kuogopa changamoto mbele yao.
So what! Muungano mambo lazima yawe “even”.Zanzibar wana katiba yao.
Hakuna kitu kama hicho.So what! Muungano mambo lazima yawe “even”.
Acha hisia na tafakari. Unity yetu sio ya lazima lakini ilikuja wakati so many forces wakijaribu kufanya mambo yao. “Cold War agenda”. Na pia Maritime issues ilichangia.Hakuna kitu kama hicho.
Tanganyika walishaivuruga Zanzibar kwa miaka mingi sana, hakuna Mtanganyika aliepaza sauti kukemea uovu wa watanganyika kwa Zanzibar iweje wakati huu ambao Wazanzibari wameanza kuona tofauti kwa kipindi kidogo tu cha miaka michache. Watanganyika mnabweka kama mbwa koko.
Historia ina kawaida ya kujirejea.
Wazanzibari wanahitaji Zanzibar yao yenye mamlaka kamili.
Tafakari!
Taratibu za international Maritime boundaries inaipa Zanzibar eneo zima la bahari kuu pamoja na nusu ya Zanzibar channel. Tanganyika mtakula wapi uchumi wa bluu? Mamlaka kamili Zanzibar lazima!Acha hisia na tafakari. Unity yetu sio ya lazima lakini ilikuja wakati so many forces wakijaribu kufanya mambo yao. “Cold War agenda”. Na pia Maritime issues ilichangia.
Hapo kwenye stubbornness ulikusudia kufikisha ujumbe gani?Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT.
Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua huyu ndugu kaisoma katiba Ila mapenzi ya dini anataka furaha katika jambo hili.
Her silence means a lot. Labda hataki malumbano na uongozi wa Zanzibar.
Tusilee uoga, unafiki na itikadi kali. Lazima viongozi wawe majasiri, wakweli bila kuogopa changamoto mbele yao.
Huna akiliSo what! Muungano mambo lazima yawe “even”.
Rudi shuleHuna akili
Mambo yatakuwaje sawa wakati tayari wana mwongozo wao
Nipo kidato cha nne mwaka huu.Rudi shule
Tanganyika sio land locked country.Taratibu za international Maritime boundaries inaipa Zanzibar eneo zima la bahari kuu pamoja na nusu ya Zanzibar channel. Tanganyika mtakula wapi uchumi wa bluu? Mamlaka kamili Zanzibar lazima!
Sawa,soma hapo juu nusu ya Zanzibar channel.Tanganyika sio land locked country.