Kati ya vyuo hivi vya pharmacy, kipi kitamfaa?

Kati ya vyuo hivi vya pharmacy, kipi kitamfaa?

Nyuzi zingine inabidi tu ucheke kwa hasira.

Chuo chenyewe TCU imekiwekea mkasi/× halafu wewe unaleta porojo.

Ningekuzaba vibao , ila sheria za nchi haziruhusu mtu kujichukulia sheria mikononi.
Bongo ndo maana hatuendelei,mtu mwenyewe huna hata data za kueleweka na bado unajifanya mjuaji..st john inayotoa pharmacy haijafungia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom