Kati ya vyuo hivi vya pharmacy, kipi kitamfaa?

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,048
Wakuu naomba kuuliza.
Mdogo angu anataka kusomea Pharmacy degree..
Je!.....
KATI VYUO HIVI...
ST JOHN
MUHAS
CUHAS
KIPI KITAMFAA KUTOKA COMPETENT KIAJIRA..
JE?
Nasikia ST JOHNS ndo chuo bora kwa Pharmacy EAST AFRICA . Ndo chaguo lake la kwanza
Maoni please.
 
Ujinga au kitu gan hivi wanafunzi mmekuaje sasa hiv seriously na wewe unasikia st.john ni chuo bora na wewe unakurupuka na kuandika hapa labda ujiambie anaufaulu mdogo sana hivyo akaona st john ndo chaguo lake narudia tena tatizo hapo ni ufaulu mdogo anyways back to the point kwa Pharmacy inaanza MUHAS ikifuatiwa na CUHAS na huyo mwingine unayesema ni the best
 
Umerudi tena

Well kama SJUT ndio chuo bora EA mpelekeni dogo akasome ila mwambie akimaliza kuna mtihani wa mama Shekalaghe ndio atajua ni bora EA au Indochina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeleke dogo mazengo sec school, iliyopewa jina la St JOHN, chuo kikuu duniani kinachotoa coz za AFYA kisichokuwa na hospitali for practice. Na huo ubora sijui uliupima ww, ndio kikawa the best east africa, while hata bongo tu top 10 hakipo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hiyo pharmacy itakuwa ngumu kama mazengo ndo walivyo!

brain is the beautiful part of the body.
 
Wakuu naomba kuuliza.
Mdogo angu anataka kusomea Pharmacy degree..
Je!.....
KATI VYUO HIVI...
ST JOHN
MUHAS
CUHAS
KIPI KITAMFAA KUTOKA COMPETENT KIAJIRA..
JE?
Nasikia ST JOHNS ndo chuo bora kwa Pharmacy EAST AFRICA . Ndo chaguo lake la kwanza
Maoni please.
kwel zedon st joseph ni chuo bora kwa kozi nying sana MUHAS NA CUHAS vinafuata na msuli wa st johns ni hatarii kwan kudisco na kufreez nje nje. niwakubali hawa watu
 
Wakuu naomba kuuliza.
Mdogo angu anataka kusomea Pharmacy degree..
Je!.....
KATI VYUO HIVI...
ST JOHN
MUHAS
CUHAS
KIPI KITAMFAA KUTOKA COMPETENT KIAJIRA..
JE?
Nasikia ST JOHNS ndo chuo bora kwa Pharmacy EAST AFRICA . Ndo chaguo lake la kwanza
Maoni please.
St john ni chuo cha mazwazwa(waliona ufaulu mbovu) huo ubora umepatikanaje? Kuna hospitali pale ya kufanya rotation? Ukijibu hayo maswali ndo utajua kama ni competate au laa.

Kuna jamaangu yuko pale apo st john, kichwa ngumu kuelewa na bado hajapata ata disco moja.

Mwambie mdogo wako aje MUHAS chuo bora kinachotambulika DUNIANI KOTE na siyo east africa akimaliza pale atakuwa most comletent ever seen.CUHAS NAPO POA.

Mm ndo nimejua leo kama st john kuna pharmacy

ipo mkuu pharmacy. lakn dogo aje akutane na wakina mtinange , nyambo lazma apanic kwanza alafu ndo atajua kumbe hata st john ni chuo bora na sio MUHAS tu
 
St john ni chuo cha mazwazwa(waliona ufaulu mbovu) huo ubora umepatikanaje? Kuna hospitali pale ya kufanya rotation? Ukijibu hayo maswali ndo utajua kama ni competate au laa.

Kuna jamaangu yuko pale apo st john, kichwa ngumu kuelewa na bado hajapata ata disco moja.

Mwambie mdogo wako aje MUHAS chuo bora kinachotambulika DUNIANI KOTE na siyo east africa akimaliza pale atakuwa most comletent ever seen.CUHAS NAPO POA.

Mm ndo nimejua leo kama st john kuna pharmacy

Sent using Jamii Forums mobile app

Mweeh Mweeh Mweeh

Unasoma MUHAS ya Kariakoo ghorofa ya tatu,ajira ni uhakika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale tunatambua suplementary 2. Hakuna disco.

Disco zipo st john 2 chuo cha kidaka wanafunzi waliokosa selection zote 5.

Sent using Jamii Forums mobile app

Clearly wewe ni muongoni mwa vilaza wachache mliojikuta medical school and all you can do is bragging about your school

Hatupimi uwezo medical personnel kwa chuo alichosoma wala GPA kubwa

Hata hapo MUHAS kuna vilaza mubashara wazuri tu

No hard feelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom