Kati ya vipindi vigumu

Kati ya vipindi vigumu

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Hiki ni kipindi kigumu sana, ni kipindi ambacho unaweza kuwa na milion miambili ndani lakn Bado ukafa njaa. Nikipindi ambacho kila kitu unachokiona duniani huwa kinatembea.
Ona hao watoto wanavyotia huruma.
 
Attachments

Hii wapelekee ccm watakulipa pesa nzuri ndio clip ya kuwatisha Watanzania 2020 wakichaguwa UKAWA nchi itaingia kwenye vita.
 
Mkuu mm siwazi unachokiwaza ww, mm nmandika tu kwamaana hayo maisha nilisha yaona.
 
Hiki ni kipindi kigumu sana, ni kipindi ambacho unaweza kuwa na milion miambili ndani lakn Bado ukafa njaa. Nikipindi ambacho kila kitu unachokiona duniani huwa kinatembea.
Ona hao watoto wanavyotia huruma.

Mh!Inasikitisha sana!Hasa uikiangalia jinsi watoto wanavyopata tabu.
 
Back
Top Bottom