Kati ya Tulia Akson na Jenista Mhagama tumuamini nani?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Wakuu tumemsikia Tulia Akson alipokuwa anaongea kwenye uzinduzi wa ofisi ya Rais kuwa wabunge waliokuwepo pale ni wabunge wa ndiyo tu na akasisitiza wabunge wa CCM ambao wamefanikisha yote yale, lakini alipokuja Jenista Mhagama akasema kwa msisitizo kuwa wabunge wa vyama vyote wapo.

Swali ni kwa nini Tulia anadanganya umma wa watanzania? na kwa maslahi ya nani?, kwanini anasema uongo mbele ya umma mpaka Jenista akaweka sawa ukweli?
 
Wakuu tumemsikia Tulia Akson alipokuwa anaongea kwenye uzinduzi wa ofisi ya Rais kuwa wabunge waliokuwepo pale ni wabunge wa ndiyo tu na akasisitiza wabunge wa ccm ambao wamefanikisha yote yale, lakini alipokuja Jenista Mhagama akasema kwa msisitizo kuwa wabunge wa vyama vyote wapo.

Swali ni kwa nini Tulia anadanganya umma wa watanzania?, na kwa maslahi ya nani?, kwa nini anasema uongo mbele ya umma mpaka Jenista akaweka sawa ukweli?
Bado unawasikiliza hao
Unapoteza muda wako, Bora ucheze kombolela na watoto
 
Wakuu tumemsikia Tulia Akson alipokuwa anaongea kwenye uzinduzi wa ofisi ya Rais kuwa wabunge waliokuwepo pale ni wabunge wa ndiyo tu na akasisitiza wabunge wa ccm ambao wamefanikisha yote yale, lakini alipokuja Jenista Mhagama akasema kwa msisitizo kuwa wabunge wa vyama vyote wapo.

Swali ni kwa nini Tulia anadanganya umma wa watanzania?, na kwa maslahi ya nani?, kwa nini anasema uongo mbele ya umma mpaka Jenista akaweka sawa ukweli?
achana nao hao, tafuta maisha yako
 
None
 
Hata mimi nilishangaa sana!
 
Uvccm walishasema kuwa ndani ya ccm hakuna msafi wa tabia wala lugha
Wakuu tumemsikia Tulia Akson alipokuwa anaongea kwenye uzinduzi wa ofisi ya Rais kuwa wabunge waliokuwepo pale ni wabunge wa ndiyo tu na akasisitiza wabunge wa ccm ambao wamefanikisha yote yale, lakini alipokuja Jenista Mhagama akasema kwa msisitizo kuwa wabunge wa vyama vyote wapo.

Swali ni kwa nini Tulia anadanganya umma wa watanzania?, na kwa maslahi ya nani?, kwa nini anasema uongo mbele ya umma mpaka Jenista akaweka sawa ukweli?

In God we trust
 
Ni uvumulivu wa hali juu kusikiliza maneno ya wapambe ni ushabuki tu! Napata tabu na usomi wao ni kusifu tuuuu! Hataweza mkuu kujua anapokosea ikiwa manabii wa mungu walikosolewa hawa viongozi wetu vipiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu tumemsikia Tulia Akson alipokuwa anaongea kwenye uzinduzi wa ofisi ya Rais kuwa wabunge waliokuwepo pale ni wabunge wa ndiyo tu na akasisitiza wabunge wa CCM ambao wamefanikisha yote yale, lakini alipokuja Jenista Mhagama akasema kwa msisitizo kuwa wabunge wa vyama vyote wapo.
Swali ni kwa nini Tulia anadanganya umma wa watanzania? na kwa maslahi ya nani?, kwanini anasema uongo mbele ya umma mpaka Jenista akaweka sawa ukweli?
Huenda anatimiza maagizo ya bosi wake ya kutowapenda wapinzani.
 
Wakuu tumemsikia Tulia Akson alipokuwa anaongea kwenye uzinduzi wa ofisi ya Rais kuwa wabunge waliokuwepo pale ni wabunge wa ndiyo tu na akasisitiza wabunge wa CCM ambao wamefanikisha yote yale, lakini alipokuja Jenista Mhagama akasema kwa msisitizo kuwa wabunge wa vyama vyote wapo.

Swali ni kwa nini Tulia anadanganya umma wa watanzania? na kwa maslahi ya nani?, kwanini anasema uongo mbele ya umma mpaka Jenista akaweka sawa ukweli?
vile ni muongo.
 
Back
Top Bottom