Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
C5 ni nzuri kwenye camera, pia kwenye internet ina uwezo wa 4G network, very fast, Ingia google ufanye comparisonKama kichwa kinavosadifu,naitaji kujua kati ya Techo Boom 5 na Tecno C5 ipi ni nzuri zaidi?
NB: Kama zina ubora sawa toa vigezo,pia kama hauzijui vizuri usichangie chochote.
Mpe 120000Bei yake shilingi ngapi wadau tecno c5 kuna mtu anataka kunizia ya kwake imepasuka kioo.cc daraja la kigamboni kisu cha ngariba, CHIEF MKWAWA na wengine nisaidieni
Nakubaliana na wewe ila nikupe mrejesho kidogo,J7 betri inakufa mapema sana,yangu nimeiweka kwenye kabati langu la kumbukumbu [emoji124]Series zote za TECHNO BOOM J5-J8 it's the best, achana na TECHNO Cs versions zinasumbua sana betri