GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,031
bwana weee usijishaueee hapaa eti unatakaa masela wa kutukukaa semaa huna helaa za kukaa hayo maeneo ya wabana puaaa sehwmu ukizotajaa vyumbaa vinaanzaa ishirin na tano ndo maana unataka kuhamiaa usisinhizie maselaaNapenda sana kuishi maeneo ambayo kuna Masela wengi wa Kutukuka ili nikaishi nao kutoka hapa ninapoishi sasa ambapo kuna Mabishoo na Wanabana pua Watupu ambao Kwangu Mimi naona hawana faida Kwangu zaidi tu ya kila mara kupiga stori za akina Marioo na za akina Diamond na Kiba.
Nimedokezwa na Mtu kuwa ukitaka kufanikiwa haraka sana kimaisha basi jaribu angalau tu kukaa maeneo yenye Masela ( Wahuni / Watoto wa Mjini ) kwani hawa Watu ukiondoa tu hizo tabia zao za Kitukutu ila wana akili nyingi za kuyajua maisha na kuona fursa ya kupambana Kimaisha hivyo nimeshawishika kutaka kuishi nao karibu.
Je kati ya Tandika, Buguruni na Mwananyamala ambako ndiko kuna Masela wengi ni wapi kumezidi kuwa wengi ili leo hii hii nikampe Kazi Dalali anitafutie huko Chumba nihamie huko nami nikatiririke na niserereke nao?
Nawasilisha na nitashukuru nikijibiwa.
keko gani mkuu,magurumbasi,mwanga,molemo,mgulani,tameko,au wap unaposemeaa wwNjoo keko hutajutia mkuu tandik mateja wengi
Napenda sana kuishi maeneo ambayo kuna Masela wengi wa Kutukuka ili nikaishi nao kutoka hapa ninapoishi sasa ambapo kuna Mabishoo na Wanabana pua Watupu ambao Kwangu Mimi naona hawana faida Kwangu zaidi tu ya kila mara kupiga stori za akina Marioo na za akina Diamond na Kiba.
Nimedokezwa na Mtu kuwa ukitaka kufanikiwa haraka sana kimaisha basi jaribu angalau tu kukaa maeneo yenye Masela ( Wahuni / Watoto wa Mjini ) kwani hawa Watu ukiondoa tu hizo tabia zao za Kitukutu ila wana akili nyingi za kuyajua maisha na kuona fursa ya kupambana Kimaisha hivyo nimeshawishika kutaka kuishi nao karibu.
Je kati ya Tandika, Buguruni na Mwananyamala ambako ndiko kuna Masela wengi ni wapi kumezidi kuwa wengi ili leo hii hii nikampe Kazi Dalali anitafutie huko Chumba nihamie huko nami nikatiririke na niserereke nao?
Nawasilisha na nitashukuru nikijibiwa.
Karibu Yakuzaaaa utawala nipo juu Ya kaburi hapa naperuz JFMimi ni mtoto wa mwananyamala kwa mama zakaria njoo muda wote utanikuta na masela tuko bwimbwi.
Tunakula upepo wa bahari, (dimbwi la maji machafu ya mvua)
bwana weee usijishaueee hapaa eti unatakaa masela wa kutukukaa semaa huna helaa za kukaa hayo maeneo ya wabana puaaa sehwmu ukizotajaa vyumbaa vinaanzaa ishirin na tano ndo maana unataka kuhamiaa usisinhizie maselaa
Tall mbabe ndio yule Rama tall aliyewahi kwenda kukaba sauzi proffessionaally kazi ikamshinda akaamua kurudi bongo?Kuanzia studio kuja mwananyamala ulizia tolu mbabe.. Uliza wapiga debe wa studio wote hadi mwananyamala watakuleta hadi kwangu.
Ila tu kama una nia ya kuja kuishi na masela huku.
Siku hizi hakuna kukaba watu. Fursa ni kuokota makopo
Dogoli=Kilonga longa =simu ya mkononi kwa wasioelewa.Kigogo kuna chafu kibao yaani kule mtoto wa miaka 13 anakushikia panga mchana kweupe vitoto wanakuchukulia dogoli .
Ndio singeli ilipotokea na makundi ya wahuni kibao kaa mbali na kigogo ase kuna vichwa vigumu hatari
Usela wa panya road ndio ulianzia kigogo ukatapakaa sehemu zingine