Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,190
- 174,323
Hii walau ina nguvu kidogo, sema watu wanazikimbia ulaji wake wa wese.
Hii walau ina nguvu kidogo, sema watu wanazikimbia ulaji wake wa wese.
Roho ya paka hii. Tofauti na ESCUDO za Sasa hiviNipe 4.5 m nikupe escudo nzuri sana kama mpya.0754279035View attachment 1521057View attachment 1521058View attachment 1521059
Nivulie mmNibembeleze nikuvulie
Nivulie hyoooNamba B cha mtoto, ninaifahamu moja namba Tzc ya mwaka 1991, Mara ya mwisho ilisimama mwaka 2010 sio kwa ubovu , Bali jamaa aliichoka , kaiacha imeozea hapo.
Sent
mkuu natafuta muffler za hii gari zote tatu napata ? 0713090054
Yes...nina rafiki yangu ana suzuki short milango mitatu. Kanasumbua sumbua AC...kuna jamaa akachakachua akaweka baadhi ya mifumo ya Toyota kama compressor na kitu kingine sikumbuki ilikuwa nini. Sasa hivi AC yake ni kama upo Antarctica..
Chukua Suzuki Grand Escudo hutajuta. Unabeba mizigo Kama TandamTatizo escudo kwa kuagiza nje hazipatikani labda kwa mtu natamani nipate iliyotumika nje
zote gari za kimaskini na za kudumu kwenye mazingira magumu japo toyota inaweza kuwa bora kuliko suzukiHivi Kati ya Suzuki Escudo na Toyota RAV4 old model kama unaanza maisha,,gari ipi inafaa katika maana ya ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spare parts na ustahimilivu wa mazingira
View attachment 1459260View attachment 1459261
Umetisha mkuu. Sitii neno.Escudo ni economic kwenye mafuta, haili mafuta kabisa. Ni gari ambayo nimewaitumia kwa muda mrefu lakini kwa miakaa Kama 8 iliyopita. Nigari ngumu ckuficha, spare zake bei nafuu mtu wa kawaida una muda kabisa.
Sema Sina uwakika kwa Sasa kwenye suala LA spares zake.. Escudo ni gari ya zamani,.sijajua spares Naona haziagizwi Sana siku hizi, nyingi unazoziona ni za zamani.
Ila nikuhakikishiee Kama Wewe ni mkazi WA Dar es Salaam. Spares huwezi kosa zitakuwepo.
Kwa gari ya rava 4 old model ni ngumu Sana, Ila zinakula mafuta sana Labda upate ya diesel naiwe manual transmission
Mkuu nakula misele ya chimbo to town bila tatizoUmetisha mkuu. Sitii neno.
Chukua Suzuki Grand Escudo hutajuta. Unabeba mizigo Kama Tandam
Wamakonde tumetengwa kwenye umiliki wa magari nchiniHio Escudo massawe nimemuuzia mtu juzi. Ina engine ya cc1566 kitu kama 1600cc haili wese so ipo njema. Gari hizo ziko nyingi huku Moshi. Wachaga wanazipenda sana maana ndio gari ambazo wengi wamekuwa nazo toka zikiwa kwa wazazi.
Kuhusu spare zipo ila sio zote zinapatikana kirahisi maana ni gari ya kizamani hivyo imeshakuwa phased out sokoni. Watu wanaagiza zaidi ile model mpya yake.
Suzuki Grand Escudo ndo Ina space mpaka utachukiaMkuu vipi kuhusiana na Suzuki grand escudo ya 2006 na kupanda
Hasa hii 2006 je nayo ni roho ya paka na vipi ulaji wake wa mafuta?