Kati ya Ridhiwani na Baba Ridhi, nani muongo?

Kati ya Ridhiwani na Baba Ridhi, nani muongo?

hayo ndio matatizo ya kugoogle kila kitu
 
nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu. Katika pita pita zangu istagram.. Kunradhi kaka yenu ni mara ya kwanza naingia humu basi nakutana na uongo na maajabu ya kutosha naona labda nishea humu nitapata uvumbuzi...

Leo ni ridhiwani kaweka picha hii ikionesha mwaka 1958 muheshimiwa raisi kikwete alikuwa mkuu wa wilaya pangani lakini wikipedia inasema alizaliwa october 1953.

Ina maana mkwere aliongoza wilaya akiwa na miaka mitano au ridhiwani katupiga changa la macho?

Bofya hapa (wikipedia) kuona umri wa raisi.

View attachment 257125View attachment 257125

nani katudanganya?
samahani mkuu
unatoka rombo?
 
Yani miccm inaona km imeaibishwa sasa ye alichokosea ni nini wakati alishasema huenda umu akapata jibu na kalipata sa mnalala nini?
 
Nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu. Katika pita pita zangu Istagram.. Kunradhi kaka yenu ni mara ya kwanza naingia humu basi nakutana na uongo na maajabu ya kutosha naona labda nishea humu nitapata uvumbuzi...

Leo ni Ridhiwani kaweka picha hii ikionesha mwaka 1958 muheshimiwa Raisi Kikwete alikuwa mkuu wa wilaya Pangani lakini Wikipedia inasema alizaliwa october 1953.

Ina maana Mkwere aliongoza wilaya akiwa na miaka mitano au Ridhiwani katupiga changa la macho?

Bofya HAPA (Wikipedia) kuona umri wa Raisi.

View attachment 257125View attachment 257125

Nani katudanganya?
jamaa alitaka kueleweshwa ndiyo maana kalileta Humu
 
ndo mana nikasema humu labda naweza kupata suluisho ..ona sasa mmenijuza kwamba babu nae alikuwa kiongozi..ningejua wapi mtoto wa 80

Kakojoe kalale. Kuanzisha mada bila kufanya utafiti ni dalili ya ugonjwa unaoitwa UKAWA au labda UKIWA.
 
Yani miccm inaona km imeaibishwa sasa ye alichokosea ni nini wakati alishasema huenda umu akapata jibu na kalipata sa mnalala nini?

Hivi kwa akili yako hiki alichoandika hapa chini ni kutafuta jibu?

quote_icon.png
By Selwa

Nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu...
 
Omba radhi mchezo uishe raund za mwanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom