Kati ya Ridhiwani na Baba Ridhi, nani muongo?

Kati ya Ridhiwani na Baba Ridhi, nani muongo?

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
702
Nimejikuta kuwavumbua waongo mwaka huu. Katika pita pita zangu Istagram.. Kunradhi kaka yenu ni mara ya kwanza naingia humu basi nakutana na uongo na maajabu ya kutosha naona labda nishea humu nitapata uvumbuzi...

Leo ni Ridhiwani kaweka picha hii ikionesha mwaka 1958 muheshimiwa Raisi Kikwete alikuwa mkuu wa wilaya Pangani lakini Wikipedia inasema alizaliwa october 1953.

Ina maana Mkwere aliongoza wilaya akiwa na miaka mitano au Ridhiwani katupiga changa la macho?

Bofya HAPA (Wikipedia) kuona umri wa Raisi.

uongo.jpg uongo.jpg

Nani katudanganya?
 
Mkuu,umesomeshwa shule ya kata halafu unakuja kuwaumbua wazee wako na kitu ambacho hujakielewa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sijui mleta uzi atakuwa katika hali gani wakati huu!! Ni zaidi ya kuumbuka!
 
Ah ah ah mleta uzi ulikurupuka...yule sio jk huyu rais mkuu...kabla uja post kitu fanya research
 
ndo mana nikasema humu labda naweza kupata suluisho ..ona sasa mmenijuza kwamba babu nae alikuwa kiongozi..ningejua wapi mtoto wa 80

Houni umedhalilisha watu tena viongozi kusema waongo kiri kosa lako uombe msamaha hapa hapa .
 
ndo mana nikasema humu labda naweza kupata suluisho ..ona sasa mmenijuza kwamba babu nae alikuwa kiongozi..ningejua wapi mtoto wa 80

Sasa unaanzaje kuita watu wazima waongo wakati wewe ni mtoto na hujui kitu??.. ukisikia akili mbovu ndio hiyo sasa
 
jamaa kaingia cha kike..... wahenga walisema fikiri kabla ya kutenda.
 
Sijui umekula maharage ya wapi weweee, nilikuwa nakuheshim mimiii...
 
kweli unaandika hii bila kufikiria hata kiduchu ili iweje?

Umefanya makusudi tu.
 
ndo mana nikasema humu labda naweza kupata suluisho ..ona sasa mmenijuza kwamba babu nae alikuwa kiongozi..ningejua wapi mtoto wa 80

Thread hukuiweka kwa lengo la kuuliza, lengo lako ilikuwa kuwaumbua, cha ajabu umeishia kuumbuka mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom