Kati ya NIT na MUST niende wapi?

Sio kweli, MUST wanatoa Bachelor of Mechanical Engineering, ambayo hii ni pure Bachelor of Engineering, sio Bachelor of Science kama unavyosema
 
Kuna selection ya diploma holder na Advance level holder, niliona majina ya waliokuwa selected in 2021 , watu 500+
Huwa wanachaguliwa wanafunzi hata 300 lakini wanaoenda kusoma actually wana range around 150
Wengine hawaendi chuo au wanaconfirm vyuo vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…