Kati ya NIT na MUST niende wapi?

NIT mechanical imeanza juzi juzi, MUST mechanical ipo tokea enzi hizo.

Ningeshauri uchague MUST maana MUST wana uzoefu kuliko NIT kwenye mechanical. Nenda MUST kasome hiyo mechanical.
 
NIT mechanical imeanza juzi juzi, MUST mechanical ipo tokea enzi hizo.

Ningeshauri uchague MUST maana MUST wana uzoefu kuliko NIT kwenye mechanical. Nenda MUST kasome hiyo mechanical
Kozi kuanza zamani haimanishi ubora wa elimu , Bado mapendekezo yangu aende ATC. MUST ni wanafunzi ni wengi , mwaka 2021 nilipoomba bachelor Mechanical MUST tulichaguliwa 500+ nilicancel na kuchangua ATC ambayo 30 tu. Najua class ikiwa na wanafunzi wengi hata lecturer hana focus zaidi na wanafunzi hasa kwenye vitendo. Mutameza notes na kufaulu mtihani tu. Tofauti na ATC wanafunzi wachache na facilities za Vitendo ni nyingi . Anyway kama anataka title kwamba kasoma university aende MUST lakini kama anataka elimu bora na ujuzi aende ATC.
 
Ningekuwa nakushauri, ningekuambia nenda ATC
 
Umemaliza kabisa mkuu
 
"Anyway kama anataka title kwamba kasoma university aende MUST lakini kama anataka elimu bora na ujuzi aende ATC."
 
Mkuu mbona mleta mada hajataja mechanical ya ATC, wewe hiyo ATC umeitoa wapi?
 
Nenda kasome mechanical ya MUST usijichanganye na mechatronics kwenye hii tz ya viwanda
 
Mkuu inakuwaje nyinyi kwenye Mechanical mlichaguliwa wanafunzi 500+ wakati TCU inaonesha kuna nafasi 80 tu za Mechanical Engineering MUST
 
Nenda NIT. Kwa sasa NIT wanafundisha hadi urubani wa ndege na ndege za kufundishia wanazo
Hata hivyo, ushauri wangu haumaanishi kuwa unaenda kusomea urubani
Bora umemaliza vyema NIT niwazuri kwenye lengo lao yaani usafirishaji hayo mengine ni kutafuta ada za watu tu.
 
DIT wamenifurahisha sana, hizi jumbe nimezizoea kwenye maombi ya kazi, nikipokea email nikaona inaanza na neno Thank you for your interest au Unfortunately........ huwa sijisumbuagi kufungua email, moja kwa moja najua nishapigwa tayari
 
Msigazi Mkulu mbona unacheka mkuu. Hadi nimejisikia vibaya 🥲
 
DIT wamenifurahisha sana, hizi jumbe nimezizoea kwenye maombi ya kazi, nikipokea email nikaona inaanza na neno Thank you for your interest au Unfortunately........ huwa sijisumbuagi kufungua email, moja kwa moja najua nishapigwa tayari
Kumbe ndio maana umefurahi. Sasa nimeelewa😂😂😂
Huo ujumbe ulifanya nijisikie vibaya sana maana nilikuwa nataka nisome Dsm maana toka primary nasoma mkoani. So Dsm chuo ninachokielewa ndio kilikuwa hicho tu na nimekosa. Inabidi nirudi tu Mbeya 😅
 
atc ada yao ni ngapi mkuu?
 
Ushauri mzuri.
Ufafanuzi mzuri.
 
Kuna selection ya diploma holder na Advance level holder, niliona majina ya waliokuwa selected in 2021 , watu 500+
Yeah sahihi nimeona sasahivi hata sisi Mechanical tupo 350.
Lakini mkuu vyuo vyote vikubwa si huwa na wanafunzi wengi na bado wanafaulu vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…