Kati ya Nifah na The Bold, yupi aliyemuacha mwenzake?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,020
5,439
Kwenu;

Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo.

Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje.

Maono yangu, kama ni mwanamke ameachwa ni hasara kubwa sana, tufanye mfano ametumika tokea akiwa binti mbichi, yawezekana hata bikra ametolewa na hiyo njemba, halafu inamuacha ghafla tu, itamuumiza sana.

Njemba imekutoa bikra, imetanua papuchi, una miaka zaidi ya 30, kumpata mtu sahihi ni ngumu, mwanamme gani atakubali kuchukua kitu iliyozeeshwa.

Ila mwanamme yeye ni ngoma mdundo, hata awe na miaka 40 bado atampata tu binti mbichi, na tena bikra.

Halafu hii kitu ya kuishi na kutaka kuoana dini mbili tofauti ni mbaya mno, mwanamke au mwanamme umekosa mtu sahihi kwenye dini yako?, tuzipende dini zetu. Tusiuze dini zetu kwa kigezo cha mali.

Tafakuri.
 
Mkuu heri ya mwaka mpya.

Pamoja na faida nyingi za dini,

Ila imeleta utengano katika jamii. Imagine umempenda mnapendana Kwa Moyo wote halafu dini inawatenganisha inawafanya hamuwezi kuishi pamoja, mnaachana mnaenda Kwa mnaofanana dini kisha hampendani kilasiku ugonmvi hamna Amani Ila mna dini moja iliyowaunganisha... Nini SASA hiki??

Kuna dini inakataza kujumuika katika sikukuu za wengine haziruhusu Kula wala kusheherekea nao pamoja wala kuwaunga mkono... Yaani wakwako ni wale wadini yako tuu... Kweli hawa watu wa middle East walikujua kutuweza Sisi waafrica.

Anyway, Mungu atufungulie uelewa zaidi 2024.
 
Kabla ya ukoloni, Africa hatukuwa n dini. Ni ajabu wewe unaziita dini zetu, alafu unakubali zitugawe.

Alafu kingine, swala la kuachana kwenye mahusiano sio kitu kipya au Cha ajabu. Nadhani hata wewe at some point either ulishawahi kuacha au kuachwa.

Cha mwisho, swala nani kamuacha mwenzake halina maana yoyote, taarifa rasmi inasema "wameachana" unataka uwagombanishe hata baada ya kuachana? 😄😄😄
 
Mambo Madogo Madogo Yasiyo Na Msaada Wowote Kwako Usiyape Nafasi

Hawa Siyo Wa Kwanza, Wala Wa Mwisho Kufanya, Kusema Hivyo
Tulia !
 
Kwenu;

Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo.

Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje.

Maono yangu, kama ni mwanamke ameachwa ni hasara kubwa sana, tufanye mfano ametumika tokea akiwa binti mbichi, yawezekana hata bikra ametolewa na hiyo njemba, halafu inamuacha ghafla tu, itamuumiza sana.

Njemba imekutoa bikra, imetanua papuchi, una miaka zaidi ya 30, kumpata mtu sahihi ni ngumu, mwanamme gani atakubali kuchukua kitu iliyozeeshwa.

Ila mwanamme yeye ni ngoma mdundo, hata awe na miaka 40 bado atampata tu binti mbichi, na tena bikra.

Halafu hii kitu ya kuishi na kutaka kuoana dini mbili tofauti ni mbaya mno, mwanamke au mwanamme umekosa mtu sahihi kwenye dini yako?, tuzipende dini zetu. Tusiuze dini zetu kwa kigezo cha mali.

Tafakuri.

Dini sio sbb ya watu kushindwa kuoana, hilo toa kabisa
 
Mkuu heri ya mwaka mpya.

Pamoja na faida nyingi za dini,

Ila imeleta utengano katika jamii. Imagine umempenda mnapendana Kwa Moyo wote halafu dini inawatenganisha inawafanya hamuwezi kuishi pamoja, mnaachana mnaenda Kwa mnaofanana dini kisha hampendani kilasiku ugonmvi hamna Amani Ila mna dini moja iliyowaunganisha... Nini SASA hiki??

Kuna dini inakataza kujumuika katika sikukuu za wengine haziruhusu Kula wala kusheherekea nao pamoja wala kuwaunga mkono... Yaani wakwako ni wale wadini yako tuu... Kweli hawa watu wa middle East walikujua kutuweza Sisi waafrica.

Anyway, Mungu atufungulie uelewa zaidi 2024.
Happy new year shem darling
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom