nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,872
- 1,110
Nimekuwa nikiangalia uchumi na maendeleo yanavyochangiwa na western taxpayers.
Kwanza wanachangia karibia 40pc ya budget yetu, wanachangia maswala ya afya kama dawa za AVR kwa waadhirika wa aids. Vita dhidi ya madawa ya kulevya,maralia n.k
Tukija kiuchumi hapo kuna miundo mbinu kama barabara na umeme hasa vijijini.
Kwy social aspects hapo kuna uchangiaji kwy democracy kutupatia pesa kwa ajili ya uchaguzi.kuna scholarship mbalimbali za kielimu.na kadha wa kadha.
Nikija nchi za kiarabu nimeona sudan tu wanatoa medical scholarship.kama kuna mtu anajua khs hawa waarabu anijuze