Kati ya mramba na rostam ni nani ilifaa atangulie mahakamani kwa wizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya mramba na rostam ni nani ilifaa atangulie mahakamani kwa wizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Major, May 12, 2011.

 1. M

  Major JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Kila nikipekua vitabu vyangu vya sheria nashindwa kujua kipengele kilichomtanguliza Mramba mahakani na kuwaacha wezi walioliibia taifa mchana kabisa, achilia mbali kesi yake kuwa ni kutoa msamaha wakodi, kuna waliokwenda kuiba kabisa benki. na watanzania tukaambiwa na raisi wetu kuwa hawa watu wana pesa nyingi sana na ni hatari kuwashitaki, je KIKWETE atasamehewa na nani?
   
Loading...